Omarymbwambo1980
Member
- Oct 28, 2014
- 47
- 25
Kwa sasa Kilimanjaro tuna hamu sana na ligi kuu ndo maana mechi zote za Panone fc watu wanajitokeza kwa wingi sana tofaut na miaka ya nyuma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni mchagaSidhani kama Leodgar Tenga ni mchaga.
ni mchaga
mwanae nimesoma nae anaitwa julieth tengaNadhani ni mpare, sio mchagga...! labda uje na evidence..!
UWIIIIKila kabila na mambo yake. Wapiga matarumbeta karibu wote ni wasambaa. Maduka mengi mitaani inamilikiwa na wachaga. Kwenye masoko (genge) wengi waha wa Kigoma. Kwenye bucha wengi wagogo. Wapasua mbao kwa misumeno wengi walikuwa wakinga. Wakati huo, wanajeshi wengi walikuwa walikuwa wakurya.
Mpira asili yake Morogoro, Kigoma nk
Miaka ya nyuma mikoa mingi ilikuwa na bendi ya muziki. Cuban na Moro Jazz, Morogoro. Tabora Jazz kule Tabora. lakini Kilimanjaro ilishindakana baada ya kutokea ugomvi nani awe mhasibu wa bendi ha ha ha.
Mchaga wa marangu huyo, acha ubishiNadhani ni mpare, sio mchagga...! labda uje na evidence..!