CODE-04
JF-Expert Member
- Oct 17, 2023
- 961
- 2,716
MonthlyNi unlimited daily au weekly??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MonthlyNi unlimited daily au weekly??
Hii imetulia! Hongera!Mkuu, kwenye thread/mada ya Christmas naona tumeshindwa kuelewana kule..
OkayMonthly
Poa mkuu. Thanks too. Naona ndugu yetu Chief Mkwawa amefafanua vema sana..Hii imetulia! Hongera!
Jamaa yupo vizuri sana katika masuala ya ICT. Hakika hongera nyingi sana kwake..
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri mkuu wangu.Sababu kubwa boss ni Capacity, generation za zamani 4G kushuka hazina Capacity, mkiwa wengi kidogo mtandao unazidiwa so wakiweka unlimited kwa simu hawataweza kuhudumia hio capacity. Kwa mitandao inayotoa 4G unlimited kama Halotel na Vodacom unlimited zao zinakubali kwenye simu ila issue ni kwamba unatumia GB kadhaa halafu zikiisha wanapunguza speed kwenye 2mbps ama 0.4mbps. Pitia uzi huu hapa
Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.www.jamiiforums.com
Ila 5G ina capacity kubwa, na coverage ndogo, so hii ndio unaona Router nyingi wanatarget maana wanajua wakikupa Unlimited utahitaji kutega router kupata hio 5G, simu maeneo mengi utakayotembea likely hutapata 5G unless unaishi mjini, hizi za 5G pia watu wana line zake kwenye simu ila ni "koneksheni zaidi" kuliko huduma ambayo ipo official. Kuna wadau humu wame confirm line za unlimited Tigo 5G zinafanya kazi kwenye simu.
Okay, if that's the case..
Mkuu, kwani hizi WiFi Boxes na smartphones zetu zinakamata signals kutokea minara/sources tofauti au ni njia hiyo hiyo moja??Sababu kubwa boss ni Capacity, generation za zamani 4G kushuka hazina Capacity, mkiwa wengi kidogo mtandao unazidiwa so wakiweka unlimited kwa simu hawataweza kuhudumia hio capacity. Kwa mitandao inayotoa 4G unlimited kama Halotel na Vodacom unlimited zao zinakubali kwenye simu ila issue ni kwamba unatumia GB kadhaa halafu zikiisha wanapunguza speed kwenye 2mbps ama 0.4mbps. Pitia uzi huu hapa
Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?
Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.www.jamiiforums.com
Ila 5G ina capacity kubwa, na coverage ndogo, so hii ndio unaona Router nyingi wanatarget maana wanajua wakikupa Unlimited utahitaji kutega router kupata hio 5G, simu maeneo mengi utakayotembea likely hutapata 5G unless unaishi mjini, hizi za 5G pia watu wana line zake kwenye simu ila ni "koneksheni zaidi" kuliko huduma ambayo ipo official. Kuna wadau humu wame confirm line za unlimited Tigo 5G zinafanya kazi kwenye simu.
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.Cha kwanza elewa hakuna unlimited internet ni limited na unapangiwa GB ngap za kutumia.
Airtel 70, 000 unapewa GB500 na 110k unapewa 1TerraBytes ya kutumia na ukiisha speed inakatwa kutoka uliyolipia hadi 200 au 400kbps ambazo ni uchafu hata youtube haitumiki. Hilo ni 1 weka kichwani.
Unlimited internet iko kwenye fiber tu ya ttcl na halotel hao wengine wanakotu kinaitwa FUP (FAIR USAGE POLICY) au wengine wanaita BANDWIDTH CAP policy. Ndio hyo ukifika gb ngap au terabytes ngap wanakushuhia speed kama mdau alivyoeleza juu huko
Pilikwanini wanakutaka ununue router zao?
Lengo ni
1. Kubana ile line isitumike kwenye simu au kupokezana
2. Wanazuia kuloop internet kwa wale hackers bila kukuona coordinates ulipo na ukumbuke software za hizi router ni customized ya mtandao husika. Bongo kuna watu wanauwezo wa kutumia line kqenye vifaa kama SIMBOX ambavyo vitarusha internet free.
3. Monitkring ya tx na rx packets
Internet unapotumia huwa inabadiri data kuwa kama vigoroli na inatuma kigololi kimoja moja na inapokea kimoja moja kwa speed kubwa. Na hivyo software za hizi router zinawezesha mtandao kuona unafanya nn mtandaoni tofauti na simu ambapo unaweza kujizuia kwa proxy
4. Mpango wa kibiashara
Lengo la kutumia wifi box ni pamoja na kufanya itumiwe na watu wenhi. Ndio sbb wanazinad kama internet kwaajili ya nyumbani au ofisini manake ni watumiaji zaidi ya 2 au 10+. Lengo n kuwa ikiisha mtachangia kulipia (malipo yawe endelevu) kama nyumbani basi itakuwa sawa na huduma ya kingamuzi kkikiisha unalipia kwa mwezi
Wanapotoa hizi bundle huwa wanabond line na imei ya kifaa ijapokuwa kama voda wao router zao zina softwares za kiwandani hawabadirishi na line yao inaweza kufanya kazi kwenye simu na kwenye router yyte na router zao zinaingia lines zote.
Kuhusu kupata line ya unlimited internet
Hili baadhi ya mitandao wanazitoa isipokuwa sharti ni ununue business plans ambazo nyingi zina range 120k kwa mwezi
Kuna baadhi ya Router zinatumia Microwave (wanaweka kama kidishi nje) hii tech ni tofauti mawasiliano yake, ila kwa hizi 5G hakuna utofauti,Mkuu, kwani hizi WiFi Boxes na smartphones zetu zinakamata signals kutokea minara/sources tofauti au ni njia hiyo hiyo moja??
Kama zinapata access ya data kutoka source moja, Je lengo la service providers lilikuwa ni kuja na kifaa cha gharama ambacho ni watu wachache pekee wataweza kukimudu ili iwe rahisi kuwahudumia kulingana na uchache wao??...and if that's the case, tunaweza kuhitimisha Kwa kusema, hakuna tatizo au kikwazo chochote cha kitaalam katika smartphone pamoja na simcard yake kwenye ku access unlimited data bila kuwa na kifaa cha ziada?? Au sio mkuu??
Makolo (Zewena FC)""Kuna beer za watu wa hali ya juu (Heineken) pamoja na zile za watu wa kipato cha chini (Pilsner)""
Hivi unajua kuwa Pilsner ni bia ya Makolo??
Kwahiyo makolo ni watu masikini sanaaa??
ANYWAY ....
#YANGA_BINGWA
Halotel Wana Laini zao ambazo ni special internet unaweka kwenye sim unakula maisha 15K -Gb 18 for monthly na option nyingine lakini laini hii Haina unlimited bundlesGood Afternoon Everyone.
Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router??
Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia smartphones zetu hizi hizi pamoja na simcards za Vodacom, Tigo Yas, Airtel pamoja na Halotel hatuwezi kuwa na Unlimited Access??
Je, kuna sababu yoyote ya kiufundi (Technical Justifications) au ni biashara tu?? Au hii huduma ipo sema ni ushamba wangu tu wa kuuza Maembe hapa Kijijini Morogoro ndio unaonisumbua??
Alafu kwanini iwe ni monthly unlimited?? Kwani hao service providers hawawezi kuweka weekly au daily unlimited?? Kwa maana hata majani ya chai yapo ya 600 pamoja na yale ya 50 kwa watu wa kipato cha chini. Kuna beer za watu wa hali ya juu (Heineken) pamoja na zile za watu wa kipato cha chini (Pilsner)
KARIBUNI KWA UFAFANUZI NDUGU ZANGU WA ICT NA TELECOMMUNICATIONS.
Ni mimi,
Muuza Maembe..
Sababu za kitaalamu:Good Afternoon Everyone.