Kwanini hakuna "Unlimited Data" pasipo kununua kifaa cha ziada (WiFi)?? Au mimi ndio mshamba??....

Asante sana kwa ufafanuzi mzuri mkuu wangu.
 
Mkuu, kwani hizi WiFi Boxes na smartphones zetu zinakamata signals kutokea minara/sources tofauti au ni njia hiyo hiyo moja??

Kama zinapata access ya data kutoka source moja, Je lengo la service providers lilikuwa ni kuja na kifaa cha gharama ambacho ni watu wachache pekee wataweza kukimudu ili iwe rahisi kuwahudumia kulingana na uchache wao??...and if that's the case, tunaweza kuhitimisha Kwa kusema, hakuna tatizo au kikwazo chochote cha kitaalam katika smartphone pamoja na simcard yake kwenye ku access unlimited data bila kuwa na kifaa cha ziada?? Au sio mkuu??
 
Cha kwanza elewa hakuna unlimited internet ni limited na unapangiwa GB ngap za kutumia.
Airtel 70, 000 unapewa GB500 na 110k unapewa 1TerraBytes ya kutumia na ukiisha speed inakatwa kutoka uliyolipia hadi 200 au 400kbps ambazo ni uchafu hata youtube haitumiki. Hilo ni 1 weka kichwani.
Unlimited internet iko kwenye fiber tu ya ttcl na halotel hao wengine wanakotu kinaitwa FUP (FAIR USAGE POLICY) au wengine wanaita BANDWIDTH CAP policy. Ndio hyo ukifika gb ngap au terabytes ngap wanakushuhia speed kama mdau alivyoeleza juu huko

Pilikwanini wanakutaka ununue router zao?
Lengo ni
1. Kubana ile line isitumike kwenye simu au kupokezana
2. Wanazuia kuloop internet kwa wale hackers bila kukuona coordinates ulipo na ukumbuke software za hizi router ni customized ya mtandao husika. Bongo kuna watu wanauwezo wa kutumia line kqenye vifaa kama SIMBOX ambavyo vitarusha internet free.
3. Monitkring ya tx na rx packets
Internet unapotumia huwa inabadiri data kuwa kama vigoroli na inatuma kigololi kimoja moja na inapokea kimoja moja kwa speed kubwa. Na hivyo software za hizi router zinawezesha mtandao kuona unafanya nn mtandaoni tofauti na simu ambapo unaweza kujizuia kwa proxy
4. Mpango wa kibiashara
Lengo la kutumia wifi box ni pamoja na kufanya itumiwe na watu wenhi. Ndio sbb wanazinad kama internet kwaajili ya nyumbani au ofisini manake ni watumiaji zaidi ya 2 au 10+. Lengo n kuwa ikiisha mtachangia kulipia (malipo yawe endelevu) kama nyumbani basi itakuwa sawa na huduma ya kingamuzi kkikiisha unalipia kwa mwezi

Wanapotoa hizi bundle huwa wanabond line na imei ya kifaa ijapokuwa kama voda wao router zao zina softwares za kiwandani hawabadirishi na line yao inaweza kufanya kazi kwenye simu na kwenye router yyte na router zao zinaingia lines zote.

Kuhusu kupata line ya unlimited internet
Hili baadhi ya mitandao wanazitoa isipokuwa sharti ni ununue business plans ambazo nyingi zina range 120k kwa mwezi
 
""Kuna beer za watu wa hali ya juu (Heineken) pamoja na zile za watu wa kipato cha chini (Pilsner)""

Hivi unajua kuwa Pilsner ni bia ya Makolo??
Kwahiyo makolo ni watu masikini sanaaa??

ANYWAY ....
#YANGA_BINGWA
 
Asante sana kwa ufafanuzi wako mkuu.
 
Kuna baadhi ya Router zinatumia Microwave (wanaweka kama kidishi nje) hii tech ni tofauti mawasiliano yake, ila kwa hizi 5G hakuna utofauti,

Pia hakuna Excuse kwa 5G kutokua unlimited na bei kua chini, so kwenye 5G ukitoa signal walitakiwa pia waweke na simu zitumie, labda wanaogopa tu vile watu wanatembea sana wakitumia 4G ama 3G kama unlimited itafanya mitandao yao iwe mizito.
 
""Kuna beer za watu wa hali ya juu (Heineken) pamoja na zile za watu wa kipato cha chini (Pilsner)""

Hivi unajua kuwa Pilsner ni bia ya Makolo??
Kwahiyo makolo ni watu masikini sanaaa??

ANYWAY ....
#YANGA_BINGWA
Makolo (Zewena FC)

Makolo Lia Lia..
 
Halotel Wana Laini zao ambazo ni special internet unaweka kwenye sim unakula maisha 15K -Gb 18 for monthly na option nyingine lakini laini hii Haina unlimited bundles

Kwahiyo hapo ndo inakuja hio wifi rooters za 110K ambayo mwezi unalipa 70K

Hizo wi Fi pocket router hazina maana sana nibora ununue special laini ya internet Tu wanaosajili Kwa 5K

5000- Gb 4 week
15000- Gb 18 monthly

Haya mambo ya rooters ni bussines Tu na pia Ili mtumie watu inakuwa rahisi na network yake nzuri pia kwakuwa ni special Kwa network internet Tu

Ni kama bulb yenyewe inatoa mwanga Tu

Tofauti na Na Hizo flash za simu sijui nimeeleweka Wapwa
 
Sababu za kitaalamu:

1. Wanaouza Router wanadanganya kwamba wanatoa unlimited bandwidth which is not true kwasababu unlimited bandwidth is very expensive itawafanya wapate hasara kwasababu hatawao hiyo bandwidth wananunua kwa ISP mkubwa.

2. Router nyingi zinazouzwa ingawa subscription inasoma unlimited lakini zinakuwa na kikomo cha matumizi kwa siku. Wanaasume kwamba utakapo tumia huta vuka kiwango hicho na endapo ukifikia kiwango hicho automatically wanalimit network speed, hutoweza kudownload zaidi ya bandwidth fulani. Inaweza ikawa chini ya 50mbps.

3. Wakiweka kwenye simu wanadhani kwamba itakuwa ngumu kwa mtu kukubali kulipia gharama kubwa kwa personal network wanafikiri itakuwa ni kuathiri biashara ya router ambazo zinafaida pia kwao.

4. Matumizi ya Internet ya unlimited kwenye simu yanapunguza uwezo wa makampuni kumonitor your network activity compared kwenye router ambapo kupitia router unayo tumia kuna specified firmware na gateway ambayo all packets zinapass na hapo wanaweza kuanalyse data za all network users in a particular Local area network.

5. Kuwa na specified network device kunaongeza efficiency katika kusupply network, most network devices especially routers zinauwezo mkubwa wa kuocuppy large bandwidth compared to normal smartphones ambazo hazijatengenezwa specific ku act as a router ingawa zinaweza kushare network to other devices
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…