Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 110
- 167
[emoji122][emoji122][emoji122]Sirikali dhaifu imewekwa mfukoni na wafanyabiashara...si unamuona Napee siku hizi anajinenepea tu hovyo2, asali tamu!.
Simple answer: Kwani Nape wakimwambia tunaomba akaunti yako Uswiss tukuwekee USD 500,000 as long as utaachia na kutetea kupanda kwa bando atazilaani?Habari ya asubuhi wana JF.
Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo.
Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku kwenye huduma za mawasiliano.
Hii ndio TZ baba..Sirikali dhaifu imewekwa mfukoni na wafanyabiashara, si unamuona Napee siku hizi anajinenepea tu hovyo2, asali tamu!
Hata ikipigiwa mkeo utaacha useme katiba mpya ndio suluhishoKatiba mpya ndio suluhu sahihi na sio Suluhu yule.
Hata ikipigiwa mkeo utaacha useme katiba mpya ndio suluhisho
USSR
Aiiiseee! Hili jibu limemfaa sana huyu bw..e..ge ndo akome na kiherehere chake..Nani kakuambia mimi ninaye mke??-- nenda kamuambie mumeo kwamba mimi sina mke ili akupe talaka uwe mke wangu.