Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 110
- 167
Habari ya asubuhi wana JF.
Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo.
Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku kwenye huduma za mawasiliano.