Kwanini hakuna usimamizi kwenye Bei ya Vifurushi vya Mitandao ya simu?

Kwanini hakuna usimamizi kwenye Bei ya Vifurushi vya Mitandao ya simu?

Joseph_Mungure

Senior Member
Joined
Mar 6, 2021
Posts
110
Reaction score
167
Habari ya asubuhi wana JF.

Nimeleta hoja hii mbele yenu, kupata maoni kutoka kwenu. Hii ni kutokana na kubadilika kwa bei za vifurushi mara kwa mara bila kutolewa sababu za kubadilika kwa gharama za huduma hizo.

Kwanini hakuna chombo kama EWURA!? Kinachofanyika kwenye mafuta kifanywe na huku kwenye huduma za mawasiliano.
 
Simple answer: Kwani Nape wakimwambia tunaomba akaunti yako Uswiss tukuwekee USD 500,000 as long as utaachia na kutetea kupanda kwa bando atazilaani?
 
Sirikali dhaifu imewekwa mfukoni na wafanyabiashara, si unamuona Napee siku hizi anajinenepea tu hovyo2, asali tamu!
Hii ndio TZ baba..
 
Attachments

  • Tanzania yetu.jpg
    Tanzania yetu.jpg
    81.7 KB · Views: 7
Makampuni ya simu yanaikusanyia CCM fedha za uchaguzi wa 2025 ndiyo maana Nape anawakingia kifua
 
Katiba mpya ndio suluhu sahihi na sio Suluhu yule.
 
Back
Top Bottom