Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo nash mcTangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Fid Q, Young killer, baraka da prince, sajina, mo music, rado, na kala jeremiah, na wengine wengi tu ni wasukuma.Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Unaongea upumbavu! Kala Jeremiah unamfahamu? Kiboko ya Mr. Nice ulikuwa unamfahamu?Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
siyo mmaasai?😅Huyo hapo msukuma sema kingineView attachment 3165791
Baraka sio msukumaFid Q, Young killer, baraka da prince, sajina, mo music, rado, na kala jeremiah, na wengine wengi tu ni wasukuma.
Wahaya wasanii wazamani walikuwepo akina bushoke, yule jamaa aliimba utakunywa sumu huku unaona alikuwa anaitwa k-basili, afsa kazinja, maua naye alikuwa anaimba nyimbo za kihaya, nourah a.k.a baba styles, soggy doggy hunter na wengine tu.
kweli nimekumbuka ni wa tarime, nimechanganya kisa alitokea mwanzaBaraka sio msukuma
Saida KaroliTangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?