Kwanini hakuna wanamuziki maarufu Wasukuma na Wahaya

Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Mbona wasukuma wapo wengi tu tukianza na Young killer,Fid Q
 
Fid Q, Young killer, baraka da prince, sajina, mo music, rado, na kala jeremiah, na wengine wengi tu ni wasukuma.
Wahaya wasanii wazamani walikuwepo akina bushoke, yule jamaa aliimba utakunywa sumu huku unaona alikuwa anaitwa k-basili, afsa kazinja, maua naye alikuwa anaimba nyimbo za kihaya, nourah a.k.a baba styles, soggy doggy hunter na wengine tu.
umemaliza, atakuwa haufahamu muziki, anawajua Alikiba &Diamond peke yako
 
Bukoba (wahaya)

-Saida karoli -Maria salome
-Bushoke- Mume bwege
-Maua -dereva babili
-BK Sande -sekido
-Kamdingi fulani -otaye
-Nshomile family
-Kashwelelezi
-Afisa kazinja

Hao wote ni wasanii ambao wametoa hit na wasanii ambao wamewahi kuwa hadi katika tuzo kubwa mfano Bk sande amewahi kuwa nominated na Mrisho mpoto katika tuzo za Kilimanjaro music awards

Saida karoli the same amewahi kuwania tuzo na kina chaka chaka kutoka south Africa.

Kamdingi fulani ana nyimbo inaitwa otaye one of the best song ever

So Bukoba kuna wasanii wakubwa Ila ni ngumu kuwajua ikiwa nyie watoto wa 2000s mnafatilia trending songs za YouTube tu.
 
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Lidudu Baya ni kabila gani
 
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Akina Gudegude, budagala, dawadawa hao ni wamasai au?
 
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Sisi ni mapilot, maengineer, et al
 
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Hahahaha....Ushamba haviendanu na umaarufu
 
Back
Top Bottom