Kwanini hakuna wanamuziki maarufu Wasukuma na Wahaya

Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Unasema yupo kisha unasema hayupo! Ili awepo unataka wawe wangapi?
 
Tangu enzi za mwanamuziki mwanama Saida Carol sijawahi kuona tena msanii mwanamuziki Mhaya. Kwa nini hakuna wanamuziki wa bongo flavour maarufu Wahaya na Wasukuma ukizingatia haya ni makabila makubwa na mashuhuri sana nchini?
Wahaya si kabila kubwa ni la kujimwambafy tu.
 
Back
Top Bottom