Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi nauliza swali kila baada ya uzi wa mapambio kwa nini huwa mnaweka email au namba za simu [emoji849][emoji849][emoji849] huwezi tu kubandika uzi wako kwa kutumia user yako atakae taka kuwasiliana na wewe si anaweza aka kuinbox tu hapa JF kwenye link ya massage au?
Kana kwamba haitoshi wengine mnakwenda mbali na kuweka viwango vyenu vya elimu mlizo nazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] chakuchekesha ukiangalia kiwango cha elimu aliyojinadi na utopolo alioandika unabaki unajiuliza hivi nani mwenye akili ampe uteuzi kwa kusifia ujinga yani kutwa ni sifa, sifa, sifa, tu?
Sikilizeni niwaambie nyie waweka email na namba za simu na nyie mnaoweka viwango vya elimu mlizo nazo
Ni hivi hao mnaowasifia ujinga wanajua kuwa mnawasifu ujinga kwa sababu wao wenyewe wanajua kuwa wanawaongoza kwa staili ya kuwafanya watu wote muwe ni wajinga hivyo basi msitegemee kupata uteuzi kwa sababu tayari wanajua kuwa nyie ni wajinga kutokana na ujinga mnaouandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
" ... mtu akikupa mawazo ya kipumbavu huku akijua kuwa unajua ni ya kipumbavu na wewe ukayakubali basi atakudharau ..." :Mwl. J.K. Nyerere