Mkuu na wewe umerithi mikoba ya uganga?Huyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha singeli[emoji3][emoji3][emoji3]. Aisee apunguze collabo watu wataizoea sauti yake watamchoka, afanye chache zinazoweza kumpeleka mbele, sio za wadwanzi kina QChilla hazitamfikisha popote, maana amefanya nyingi mno mwakahuu lakini ni chache zilizoweza kupenya
Kuimba hajui,FULL STOP.Huyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha singeli[emoji3][emoji3][emoji3]. Aisee apunguze collabo watu wataizoea sauti yake watamchoka, afanye chache zinazoweza kumpeleka mbele, sio za wadwanzi kina QChilla hazitamfikisha popote, maana amefanya nyingi mno mwakahuu lakini ni chache zilizoweza kupenya
Kuimba hajui,FULL STOP.
Yaani kuna vitoto vimepandikizwa chuki na chuki imeota na imestawi vyema, sasa havioni jema zaidi ya kuja thread za kipuuzi tu,Nimepitia nyuzi zako, ila kiukweli ndugu yangu una chuki binafsi na huyu jamaa.
Since ameamua kufanya kazi peke yake naona ni mwendo wa kumtolea Kleesoft tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Harmonize Ni jinga tu kama majinga mengine.Ila umemvunjia heahima sana Q Chillah, hao miziki yao ndio imetukuza sisi.
Aise baadhi ya watu wa humu sijui ni ujinga au ni nn? Yaani huyo Hamo kutoka wcb ni zengwe na chuki kila siku, acheni roho mbaya vijana mtakufa kwa vihoro,Nimepitia nyuzi zako, ila kiukweli ndugu yangu una chuki binafsi na huyu jamaa.
Since ameamua kufanya kazi peke yake naona ni mwendo wa kumtolea Kleesoft tu.
Ikiwa chuki yako inakuingizia kipato, basi endelea kuishi maisha ya kichawi pasipo kujua, Lakini ikiwa ni kwa sababu ya ushabiki na wewe umeamua kufuga chuki basi pasi na shaka wewe ni JINGAHuyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha singeli[emoji3][emoji3][emoji3]. Aisee apunguze collabo watu wataizoea sauti yake watamchoka, afanye chache zinazoweza kumpeleka mbele, sio za wadwanzi kina QChilla hazitamfikisha popote, maana amefanya nyingi mno mwakahuu lakini ni chache zilizoweza kupenya
Hana plan yoyote yule nguruwe pori.... Ajiandae kwenda kulima koroshoana plans zake Acha kumpangia
Ukute ni vijana wenue degree kabisaAise baadhi ya watu wa humu sijui ni ujinga au ni nn? Yaani huyo Hamo kutoka wcb ni zengwe na chuki kila siku, acheni roho mbaya vijana mtakufa kwa vihoro,