screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Huyu jamaa anajua kuimba ila nahisi anajirahisi sana, sijui nani anayemshauri kufanya collabo kilasiku, nahisi hata siku akikutana na mimi atanikubalia kolabo ya kinyimbo changu cha singeli[emoji3][emoji3][emoji3]. Aisee apunguze collabo watu wataizoea sauti yake watamchoka, afanye chache zinazoweza kumpeleka mbele, sio za wadwanzi kina QChilla hazitamfikisha popote, maana amefanya nyingi mno mwakahuu lakini ni chache zilizoweza kupenya