Kwanini Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike nchini Salama Ngale inahairishwa hairishwa tu sana?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325

Mkiambiwa jitahidini sana kuwa Wasiri kwa Mambo / Mipango yenu hasa ile ya Ndani kwani Waswahili tuna Kijicho ( Husuda ) hasa kwa Maendeleo / Mafanikio ya Wengine huwa hamtuelewi tu.

Haiingii Akilini yaani Harusi ya Mchambuzi mahiri wa Kike wa Soka nchini Salama Ngale mpaka sasa imeshahairishwa karibu mara Nne huku Mwenyewe akiona ni Jambo la kawaida wakati Wakongwe tumeshaona kuwa ina Nuksi na kwamba hata ikitokea Wakaoana / Ikafungwa kuna Uwezekano hata isije ikadumu.

Hata hivyo GENTAMYCINE kwa nia njema kabisa namuombea Bi. Salama Ngale na huyo Mchumba wake ( Mumewe ) mtarajiwa kila la kheri katika Mipango ya mwisho mwisho kuelekea Kufunga kwa Ndoa hiyo.
 
Babu Harusi hiyo iache M23 vipi huko
 
nami naungana nawe kumuombea itimie
 
wanavyosema hunazo kumbe kweli. Mwanaume kwl rijali unaweza kufuatilia mambo ya harusi ya wenzio? Tukisema wamebaki wanaume wachache sana utabisha?
 
Inakuhusu nini wewe idiot?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…