Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akikamatwa anatengeneza gobole, badala ya kumpa mazingira mazuri ya utengenezaji wa magobole, anafungwaHabari wakuu. Kuna huu usemi wa siku nyingi ambao huwa unanikera. Kwa mfano hatuwezi kutengeneza simu za mkononi, computer, ndege za abiria au za kijeshi, roketi na kadhalika. Kisa...? Hatuna teknolojia. Hao wanaotengeneza hivi vitu hiyo teknolojia waliipata wapi? Kwa muono wangu teknolojia ni zao la akili ya binadamu. Wenzetu wameshughulisha ubongo wao vizuri wakapata teknolojia hizo. Sisi tunakwama wapi na tumekopa elimu za wenzetu na tuna degree chungu tele za matawi yote ya sayansi??? Hebu tujadili hili.
Kuna wakati kuna mtu alifanya ubunifu wa kujenga barabara ya kiwango kwa kutumia lami inayotokana na mmea wa mnyaa (finger euphorbia) sijui iliishia wapi. Ni mtu layman tu wala siyo civil engineer.Ma engineer wetu hawawezi hata kujenga KM 1 ya barabara ya Lami.
Ndio shida ya elimu za kuazima. Copy and paste!Ma daktari wetu wanafanya ni application, hatuwezi hata kutengeneza dawa mbalimbali
Not true! Ni sawa na kusema mtu anayekumbatia blanketi mpaka saa mbili asubuhi na mwingine anatoka alfajiri kwenda shambani huyu wa kwanza analala njaa kwa sababu Muugu kamuumba hivyo. Hapana!Mungu hakutaka tuwe sawa, sisi akatufanya weusi na akili katunyima, wale kawafanya weupe na akili kawapa. Ndo hayo tuu.
Kweli hili ni jambo la kushangaza kabisa. Then tunatumia kodi kwenda kununua bunduki nje!!!!Mtu akikamatwa anatengeneza gobole, badala ya kumpa mazingira mazuri ya utengenezaji wa magobole, anafungwa
Hivyo vitabu viko wapi vya kiswahili vya physics, biology, book-keeping n.k tuacheni siasa kwenye mambo nyetiWewe unadhani nini kinasababisha wanafunzi wetu wasijifunze kwa lugha ya Kiswahili? Kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu?
Darasani penyewe unajibu mtihani kwa kiingereza lakini unawaza kwa kiswahili.
Ni shida kubwa sana..!!! Kuna yule mzee anazalisha umeme kule Njombe, ambaye Magu aliamuru TANESCO wamsapoti..!! Nadhani baada ya pale atakuwa kaachwa peke yakeKweli hili ni jambo la kushangaza kabisa. Then tunatumia kodi kwenda kununua bunduki nje!!!!
Kama huna uchumi wa kueleweka, huwezi fundisha watu kwa lugha yako..!! Mfano mdogo tu, ONA TUNAVYOHANGAIKA KUWASHA MAREDIO KWENYE MAGARI YANAYOTOKA JAPANI..!!Wewe unadhani nini kinasababisha wanafunzi wetu wasijifunze kwa lugha ya Kiswahili? Kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu?
Darasani penyewe unajibu mtihani kwa kiingereza lakini unawaza kwa kiswahili.
Ndo najiuliza na haya madgree yote tuliyonayo siju BSc, BEng n.k hata hii imitatation tu kama wanavyofanya wachina inatushinda wapi? Wengi wa hao wachina ambao wanatengeneza hizo electronic devices hawana hata degree ya chuo kikuu!Kuna njia kadhaa ambazo zinasaidia katika katika kusambaa kwa technology mfano imitation, Turn-key operation,training people abroad, industrial suffrage hata strategic alliance inaweza kusaidia.
China wako sana kweny imitation yaani kuiga au kucopy na kupaste sisi bado hatujafika kabisa kabisa level izo hata biashara tunajikuta tunajua sana..
Maoni yangu kuanzia elimu tunayojisifia na wasomi hamna kitu kwa nn? Wengi kati ya wao wanakimbilia kweny siasa na kuwa na ile prestige kwamba wao ndo wao ni wachache wako kweny career walizosomea kwa miaka..kilichobaki ni ile watu fulani wasomi sana ila kwa vile wamajiriwa I viongozi basi huo ndo utukufu wako
Majuzi nilikutana na kitabu cha blockchain technology kwa kiswahili. Nampa kongole sana mwandishi.Hivyo vitabu viko wapi vya kiswahili vya physics, biology, book-keeping n.k tuacheni siasa kwenye mambo nyeti
Mimi nilishawahi kutana na kita cha THE RIVER BETWEEN kikiwa kwenye lugha ya kiswahili, jinalilikuwa NJIA PANDANdo najiuliza na haya madgree yote tuliyonayo siju BSc, BEng n.k hata hii imitatation tu kama wanavyofanya wachina inatushinda wapi? Wengi wa hao wachina ambao wanatengeneza hizo electronic devices hawana hata degree ya chuo kikuu!
Majuzi nilikutana na kitabu cha blockchain technology kwa kiswahili. Nampa kongole sana mwandishi.
Natumaini watu wa serikali wapo humu na maoni yetu wanayasoma. Nawaomba wayafanyie kazi. Tupo hapa si kwa nia ya kubeza bali kwa nia ya kujenga taifa. Natumaini wahusika manaelewa. Najua mpo humu.Ni shida kubwa sana..!!! Kuna yule mzee anazalisha umeme kule Njombe, ambaye Magu aliamuru TANESCO wamsapoti..!! Nadhani baada ya pale atakuwa kaachwa peke yake
Kama una pdf file yake naomba unitumie. Nilikisoma cha kiingereza O-Level. Huwa nafanya fasiri za English to German lakini sikupata kujua kama wanahitaji translation ya The River Between.Mimi nilishawahi kutana na kita cha THE RIVER BETWEEN kikiwa kwenye lugha ya kiswahili, jinalilikuwa NJIA PANDA
China waliweka sera rafiki ya Kodi makampuni makubwa yakaenda wekeza china through contract manufacturing baada ya mda wakawa na viwanda vingi automatic watu watajifunza kwenye viwanda jinsi ya kufanya uzalishaji lakin Tanzania ni ngumu sana mwekezaji kuja kuwekeza sababu sheria ya Kodi ni ngumu na kila uchwao inabadilika na urasimu uliopo brelaKuna njia kadhaa ambazo zinasaidia katika katika kusambaa kwa technology mfano imitation, Turn-key operation,training people abroad, industrial suffrage hata strategic alliance inaweza kusaidia.
China wako sana kweny imitation yaani kuiga au kucopy na kupaste sisi bado hatujafika kabisa kabisa level izo hata biashara tunajikuta tunajua sana..
Maoni yangu kuanzia elimu tunayojisifia na wasomi hamna kitu kwa nn? Wengi kati ya wao wanakimbilia kweny siasa na kuwa na ile prestige kwamba wao ndo wao ni wachache wako kweny career walizosomea kwa miaka..kilichobaki ni ile watu fulani wasomi sana ila kwa vile wamajiriwa I viongozi basi huo ndo utukufu wako
Teknologia zote duniani zinamilikiwa na watu pia kampuni
Swali unalotakiwa kujiuliza wewe mleta mada ni kuwa wewe unamiliki teknologia gani?
Nasio kuja na muhemko
Hio ndo point yangu tunasheria za Kodi na uwekezaji ngumu sana na zinatufelishaShida ni uwekezaji.... Ikitokea kampuni kubwa ya kutengeneza simu, magari au zana za kilimo hapa hapa nchini ingesaidia kutoa ajira na bidhaa kuwa Bei rahisi...
Shida ni uwekezaji na kutokuwa na mikakati, mipango ktk wizara ya viwanda....
Hio ndo point yangu tunasheria za Kodi na uwekezaji ngumu sana na zinatufelisha
Uko sahihi kabisaChina waliweka sera rafiki ya Kodi makampuni makubwa yakaenda wekeza china through contract manufacturing baada ya mda wakawa na viwanda vingi automatic watu watajifunza kwenye viwanda jinsi ya kufanya uzalishaji lakin Tanzania ni ngumu sana mwekezaji kuja kuwekeza sababu sheria ya Kodi ni ngumu na kila uchwao inabadilika na urasimu uliopo brela
Hata wasomi wengi wa kitanzania motives yao ni kupata elimu ili wawatambie watu, ndo maana ni nadra sana kukuta mzungu anavimba kwa sababu ya PhD aliyonayo mda mwingine hata kwenye jinaa lake haweki sababu motives yao ya kusoma ni kuleta changes kwenye jamii iliyowazunguka