Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

kule wamejaa wa chuo tu, mbele ya totoz za chuo,
BabyCare huwa naweka pembeni kwa mda
Umeongelea Tinder umenikumbusha mbali sana ..

way back 2019 kipindi nipo chuo nilijiunga na group moja la first year kwenye zile links wanatumaga huku JF

sasa kuna dada nikawa namzimia kwenye ilo group tukawa tunachat kawaida badae nilijikuta nimekua removed kwenye group mana nilikua sisomi iyo course na namba yake sikuisave ila nikawa nimekariri dp yake.

2020 kuna siku nimekaa sina cha kufanya najiandaa na Field totoz hazipo zimeenda likizo nikaingia Tinder kwenye kuperuzi nikakutana na avatar inafanana na dp ya yule dada wa first year kwanza nikashtuka nikai_dm tukameet aisee bonge moja la pisi tukafanya yetu nikamkatia pesa yake kila mtu akala hamsini zake.

To cut the long story short, yule dada alikua ni CR class kwao. Siku tupo kwenye kikao cha bunge la serikali ya wanafunzi tukakutana tena kila mtu akabaki kumshangaa mwenzie.

Bado tunawasiliana mpaka kesho 🤣
 
Hello keyboard warriors,

Imekuwa kawaida sana kusikia kauli kama "Bado unatumia Facebook?" pale mtu anaposhika simu yako na kuikuta hiyo app.

Binafsi mtandao wangu pendwa wa muda wote ukitoa JamiiForums ni Facebook.

Kwanini wewe hutumii Facebook ilhali watu maarufu wote wanautumia na mnatuchukuliaje sisi tunautumia, na wale mnaotumia huo mtandao mnawachukuliaje ambao hawautumii?
mimi natumia siwezi acha
 
Sababu za hao wapuuzi wanaouliza "bado unatumia Facebook?" Ni mbili tu;
1. Wengi wao wapo mitandaoni kwa ajili ya kuchat tu na kujiburudisha.
2. Na hata wale wanaofanya biashara wana upuuzi wa kudhani Facebook haina watu wengi kama Instagram na mitandao mingine. Wasichokijua ni kuwa bado Facebook ni mtandao unaoongoza kwa wafuasi. Na kama ni wateja basi Facebook inaongoza kwa kuwa na wateja wa uhakika. Madingi wengi wako Facebook.
 
Back
Top Bottom