Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

Mi Facebook naendaga kwenye market place nauza na kununua vitu!
Nikitoka kupoteza muda Kuna groups zangu za watu wenye mitazamo kama yangu

Kwisha
 
Enzi hizo nilikuwa mitaa hii;
Tango, Imo, google+ & BBM

Sasahivi nipo mitaa hii pendwa;
Jf
Fb
WhatsApp zote, GB WhatsApp & Business WhatsApp
Ig
Twitter
Truth
Thread
Tiktok
Snapchat
Telegram
Oyaaa tuendelee kuzurura huku mitandao ya kijamii
 
ni kulingana na uhitaji binafsi facebook naitumia kibishara zaidi kwani unafikiwa na watu wengi japo ujinga ni mwingi sana mule
 
Kuna watu wanawaza kutotumia FB na kutumia JF ni ujuaji. Mimi nina groups zangu nzuri sana za fb.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Tuko pamoja...

Na hata hao wanaosema mimi natumia JF tu... blah blah nyingi...Ukichunguza kwenye hiyo mitandao wanayosema hawatumii..wanaitumia vizuri sana..

Mimi nina groups zangu FB....Mambo ninayoyapata huko ni top notch..sijutii.
 
Sahihi kabisa yani!!
 
Ushamba na usanguine mwingi watu wanaojielewa wapo kule wanafanya vitu vya maana kama kuattract traffic,matangazo,promotion,fundraising n.k
 
Back
Top Bottom