Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Facebook ni mtandao wa ovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia....[emoji419]Huo usemi kuwa "Bado unatumia Facebook" unaosema sema hivyo ushamba na ujinga ndio unawasumbua yaani mtu anataka asichopenda nawe usikipende.
Unataka kutuambia hata Facebook huijui inaonekanaje?Inawezekana labda ukubwani..maana nimeanza kutumia nikiwa form one😌
Unataka kutuambia hata Facebook huijui inaonekanaje?Inawezekana labda ukubwani..maana nimeanza kutumia nikiwa form one😌
Inakula bando km upo YouTubeFace book kama wewe ni mfanya biashara ni nzuri sana wateja unawapata kwa urahisi
Mimi pia...Facebook naikubali
Si hata humu kuna Ushamba na Utoto mwingi tu...AU unazungumzia wapi Mkuu?Ushamba na utoto mwingi
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Kuna watu wanawaza kutotumia FB na kutumia JF ni ujuaji. Mimi nina groups zangu nzuri sana za fb.
Facebook wamejaa wazungu waki Nigeria tuWale mnaotafuta malaya au wazungu wa kudate nao mtandaoni basi Facebook ndo pahala pake.
No scam[emoji736]️
Badoo, Tinder, Tagged, Exotic Tz n.k zikasome
Sahihi kabisa yani!![emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
Tuko pamoja...
Na hata hao wanaosema mimi natumia JF tu... blah blah nyingi...Ukichunguza kwenye hiyo mitandao wanayosema hawatumii..wanaitumia vizuri sana..
Mimi nina groups zangu FB....Mambo ninayoyapata huko ni top notch..sijutii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shida pekee ya FB ni aina ya hizi notifications
"Fatuma Ramadhani is feeling pregnant with you and 37 other friends"
Fb ina raha yake kimbe wadau wa comments tupo wengiMimi pia...
Kule kuna watu wana'comments zinachekesha mitandao mingine inasubiri...