GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Acha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa ( PhD ) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
Neno hiliAcha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.
Pumbavu.Acha kujadili watu Dude, jadili ideas and concepts tafuta pesa zako, kama huna mada za maendeleo soma tu mada za wengine tu.
Partners in 'Foolishness' support each other.Neno hili
Aliyempa PhD Mama yenu Jana UDSM.Ukijua nani yupo nyuma yao huwezi pata shida kupata majibu.
Nasikia Le mkubwa yupo nyuma yaoUkijua nani yupo nyuma yao huwezi pata shida kupata majibu.
Walikimbiza kwa msoga kwa ngosha wakanyuti kidogo ila sasa wamerudi kwa kasiHao hata kipindi cha magu walikuwa wanakimbiza sokoni
Na Yeye ndiyo Mmiliki kwa 85% Mkuu.Nasikia Le mkubwa yupo nyuma yao
Uvivu wa Kike ndiyo Kiswahili gani au cha wapi hiki? Pumbavu.Acha uvivu wa kike tafuta hela na wewe ukimbize.
Mbna unapenda kwa andama matajiriPumbavu.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Huku huyo aliyewafanya Wakimbize awali ( enzi zake ) akiwa ndiyo Mmiliki wa hizo Biashara za hawa Ndugu Wawili kwa 85% kwa kila moja.Walikimbiza kwa msoga kwa ngosha wakanyuti kidogo ila sasa wamerudi kwa kasi
Wanawafanya Watanzania wengi kuwa Masikini ( kwa Kuwanyonya ) zaidi na kuwa Wapumbavu kama ulivyo.Mbna unapenda kwa andama matajiri
Hata mimi nashangaa walikuepo zaidi maana kabla ya corona safari za china zilikua kila siku tofauti na sasa. Watu walikua wanaenda kulipia pale lumumba kila siku. Sema saivi competitors wamekuja juu na promo ya kuzidi mfano mapembelo, ndio inafanya silent waongeze promo.Walikuwepo tena zaidi ya sasa