Acha kuwaza njia zilizoshindikina, TUMIA NJIA BORA ZAIDI YAO.... wanadhania wao ndo wanakuwa zaidi ya WENGINE...Wakuu,
Huyu ni kiongozi wa pili kutoka CCM ambaye anatoa kauli tatanishi kuhusu kupoteza watu pamoja na watu wasiyojulikana, lakini wanaishia kutenguliwa na kuonywa tu na hakuna hatua nyingine inachukuliwa dhidi yao.
Wa kwanza alikuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kagera, akasema wakiwapoteza watu polisi wala wasijisumbue kuwatafuta, zaidi kwenye hilo soma hapa: Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute
Polisi wala hawakufanya lolote, tukaishia kupata kauli tu za viongozi CCM ooh ni kijana tu ameteleza, mara hatukubaliani na alichosema, ikaisha hivyo, na sasa tunaona kweli watu wanapotezwa kama alivyosema na polisi wala hawajisumbui mpaka wanaagizwa na mahakama kufanya kazi yao!
Leo mwingine karudia yaleyale sema kwa lugha nyingine tu, kuwa kipindi kile walifanya na sasa wamejipanga kufanya tena. Kikubwa wanachofanya ni kutengua, kuonya kishkaji na kuja na matamko yao ya maigizo kuwa alichosema siyo msimamo wa chama!
Zaidi soma hapa: Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Wahalifu wanasema waziwazi ushiriki wao kwenye matukio hayo kwanini hawachukuliwi hatua kwenda kulisaidia polisi? Au mpaka wawe wapinzani ndio wanastahili kuchukuliwa hatua?
Polisi/Serikali mtaendelea kufumbia macho hayo mpaka lini? Mpaka wananchi wanaanze kushungulika na watu hawa kwa namna wanayoona inafaa kwakuwa nyie mmewaangusha?
Ndio double standard yenyewe, angekuwa chadema sahizi yupo central ila ni wa ccm hutomsikia akiguswaWakuu,

Unataka Mfalme avuliwe nguo hadharani??Wakuu,

Wakuu,

Kwa sababu hatumbuliwi kwa sababu ya kusema watapoteza watu. Wanatumbuliwa kwa kutoa ukweli wa umafia wa CCM.Wakuu,

Tanzania tuna shida kubwa. Pengine elimu? Kumbe watu wazima tena wenye uwezo wa kutumia internet hamjui hata ni kwa nini mtu kama huyo DC katumbuliwa? Wewe huoni katumbuliwa kwa sababu ya kusema ukweli kuwa CCM wanaiba kura?Ndio double standard yenyewe, angekuwa chadema sahizi yupo central ila ni wa ccm hutomsikia akiguswa
Sio kuiba kura tu bali na kuua watu kwenye maporiTanzania tuna shida kubwa. Pengine elimu? Kumbe watu wazima tena wenye uwezo wa kutumia internet hamjui hata ni kwa nini mtu kama huyo DC katumbuliwa? Wewe huoni katumbuliwa kwa sababu ya kusema ukweli kuwa CCM wanaiba kura?
Tanzania tuna shida kubwa. Pengine elimu? Kumbe watu wazima tena wenye uwezo wa kutumia internet hamjui hata ni kwa nini mtu kama huyo DC katumbuliwa? Wewe huoni katumbuliwa kwa sababu ya kusema ukweli kuwa CCM wanaiba kura?