Consultants wa haya mambo nasikia ni waarabu. Yaani mfumo wetu ni kama umekuwa by-passed, na upo upo tu ila main architecs wa mipango yote ni waarabu na mtoto pendwa Abdu.Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.
Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?
Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.
Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.
Aisee ngoja muda wa mama yake uishe kuna watu watalia na kusaga meno.Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa juu wa vyombo vya usalama kuhusiana na huyo Abduli, kwa kweli inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Wanasema huyo mtu ni kama ana jeshi lake binafsi linaloripoti kwake moja kwa moja. Na mipango yote inafanyika nyumbani kwake. Na nyumbani kwake kuna mifumo ya ulinzi wa ajabu aliyoyengenezewa na wachina. Na hiyo nyumva yake, ni kama bank, kuna mamilioni ya dola zimerundikwa tu. Na kuingia ni kwa sensor ya vidole vya watu wachache sana. Wengine wote kuingia huko kwake ni lazima uongozane na hao watu wake anaowaamini. Hapo nyumbani kwake ndipo mipango yote haramu ya kuwaangamiza watu, uporaji wa rasilimali za Tanganyika, ndipo hufanyika.
Wanachofanya ni kuhakikisha wanaweka "succession plan", plan itakayowalinda wao na vizazi vyao. Ndio maana JK alivurugwa sana kuona EL anapata nguvu na kutaka kuingia State House, walikuwa marafiki ila wakakosana so jamaa alikuwa na hofu kubwa.Aisee ngoja muda wa mama yake uishe kuna watu watalia na kusaga meno.
Ile siku wanafungia kanisa la Gwajima na watu walivyogoma kulikuwa kuna hao watu walioshika bunduki katika mavazi hayo.
Sasa kama imekuwa ngumu kuwatofautisha polisi na vibaka basi amini watekaji wanatokea huko huko polisi katika mfumo tofauti tu wa kimavazi na muonekano.
View attachment 3476690
Hao wakimpiga mtu risasi ndio polisi wanakuja na stori kuwa ni watu wasiojulikana.Nchi ya kipumbavu sana hii.
Wanalichunia wakiomba lipite na lisahaulike, wakijibu Slowslow ataanza kumwaga data. Kwa sisi wataam wa espionage huwa tunakuwa makini na pattern, saga la dogo Abdul lilianzia kwenye kuingiza container la silaha, 'uncle' wa Abdul yule bonge wa Kizimbabwe ni arms dealer, wasiojulikana inasemekana ndiyo amekuwa chief strategist, sponsor na chief operation officer yaani ndiyo jicho la yule bi Urojo na wasiojulikana kwa sasa wanakula mema ya nchi.Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.
Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?
Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.
Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.