CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kuna viashiria vingi sana kumhusisha Abdul na watekaji. Mzee Ali Kibao kwenye kikao chake cha mwisho cha Kamati Kuu aliahidi kuwa kikao kijacho angeweka ushahidi wa jinsi Abdul anavyomwaga hela Chadema ili kukivuruga Chadema na hakuwahi hata kufika nyumbani kwake Tanga akadakwa na vijana wa Abdul pale Tegeta Kibo Complex na kesho yake maiti yake ikaokotwa Ununio. Abdul ni nunda mla watu.