Lakini utekaji na mauaji ni dhahiri, wanaotekeleza hayo hawagusiki. Hili ni hakika.Watu kwa kutengeneza scenario za uwongo hamjambo
Lakini utekaji na mauaji ni dhahiri, wanaotekeleza hayo hawagusiki. Hili ni hakika.Watu kwa kutengeneza scenario za uwongo hamjambo
Mkuu umeongea kwa hisia kubwa sana, unauma sana aiseeIla siyo poa hata kidogo. Yaani mgeni anakuja kwenye nchi yenu na kuwateka kwa msaada wa wazawa wenzanu na kwenda kuwaua kinyama! Hili jambo halikubaliki.
Mahakama zile alisema yule cheupe Dawa au zipi?Kama unao ushahidi kuwa ndiyo watekaji unaweza kwenda mahakamani moja kwa moja ukawashtaki bila kupitia polisi
Sasa kama ni kijiwe cha wahuni upo hapa kufanya nini , mod nafikili mnajua cha kufanya kwa mtoa post hiiJf kama kijiwe cha wahuni kwa aina hizi za story
Nakubaliana kwa sababu ukatili unaofanywa sasa hivi hasa vijana kutekwa na wengine kuuawa ni trade mark ya nchi katili za kiarabu.Na wewe kwa kutumia akili yako unakubaliana na kitu kama hicho?
Sawa! Akili ni nywele kila mtu anazake.Nakubaliana kwa sababu ukatili unaofanywa sasa hivi hasa vijana kutekwa na wengine kuuawa ni trade mark ya nchi katili za kiarabu.
Huna akiliKabilla gani wewe usiyejua Kiswahili!?
Kama wajua vizr Kiswahili rudia kusoma hapo utaelewa
Ridhiwan mtu poa sanaHuyu kijana ana zidi kumtia doa mama yake kadri siku zinavyoenda ndivyo anavyozidi kuharibu.Ataua na kuua mwisho wake atachoka na atalipia hayo mabaya. Mbona Ridhiwani hana roho katili kama huyu kuna namna kwenye malezi wazazi walikosea
Tanganyika yetu imetekwa huku tukiangaliana tu 😭😭😭😭Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa juu wa vyombo vya usalama kuhusiana na huyo Abduli, kwa kweli inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Wanasema huyo mtu ni kama ana jeshi lake binafsi linaloripoti kwake moja kwa moja. Na mipango yote inafanyika nyumbani kwake. Na nyumbani kwake kuna mifumo ya ulinzi wa ajabu aliyoyengenezewa na wachina. Na hiyo nyumva yake, ni kama bank, kuna mamilioni ya dola zimerundikwa tu. Na kuingia ni kwa sensor ya vidole vya watu wachache sana. Wengine wote kuingia huko kwake ni lazima uongozane na hao watu wake anaowaamini. Hapo nyumbani kwake ndipo mipango yote haramu ya kuwaangamiza watu, uporaji wa rasilimali za Tanganyika, ndipo hufanyika.
Hivi ukiambiwa Magufuli ni kama Nyerere ndo itakuwa Magufuli ni Nyerere?Wewe ndiye huelewi Kiswahili
Ni kama kijiwe cha wahuni tu.Sasa kama ni kijiwe cha wahuni upo hapa kufanya nini , mod nafikili mnajua cha kufanya kwa mtoa post hii
Nililitarqjia hili mana kwenu matusi ndo defending mechanismHuna akili
we ni fala, aminiSema wewe umeshindwa kupata ajira ndani ya miaka 10, lakini uwongo wa kusema wameshindwa kutengeneza ajira yeyote, hata mtoto mdogo atakucheka
Kwa uandishi huo inaonekana wewe hamnazo, sahau kupata ajirawe ni fala, amini
Labda sababu anahusika 100%.Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.
Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?
Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.
Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.
unashikwa kinyeo na abdulKwa uandishi huo inaonekana wewe hamnazo, sahau kupata ajira