M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Riz amefungisha sana vijana alizokuwa akiwabebesha ngada, he is slightly better ukimlinganisha na Abdul kwani upande wa ukatili hakuhusishwa nao.Huyu kijana ana zidi kumtia doa mama yake kadri siku zinavyoenda ndivyo anavyozidi kuharibu.Ataua na kuua mwisho wake atachoka na atalipia hayo mabaya. Mbona Ridhiwani hana roho katili kama huyu kuna namna kwenye malezi wazazi walikosea
Uko kijiji gani? Ulishawahi kuskia kitu kinaitwa CID kwenye jeshi la polisi? Mbona wako mjini kila siku na magari ya polisi wakiwa kiraia na silaha au sheria imekataza?Ile siku wanafungia kanisa la Gwajima na watu walivyogoma kulikuwa kuna hao watu walioshika bunduki katika mavazi hayo.
Sasa kama imekuwa ngumu kuwatofautisha polisi na vibaka basi amini watekaji wanatokea huko huko polisi katika mfumo tofauti tu wa kimavazi na muonekano.
View attachment 3476690
kwa nini wasikubari kuwa Abdul anahusika na utekaji, kukanusha ni bora kuliko kuukubari ukweli???Hizi ni tuhuma nzito sana..Mtoto wa mkuu wa nchi kuhusishwa na genge la utekaji! Tena anayetoa tuhuma hizi alishawahi kuwa mtu wa ndani kabisa Ikulu.
Au ndio kusema kisu kimegusa mfupa na maumivu yanaingia kimyakimya?
Sativa ametajwa kuwajua wataekaji.
Mtoa tuhuma anadai yupo Cuba amekosa nauli ya kurudi kwao.
Uko kijiji gani? Ulishawahi kuskia kitu kinaitwa CID kwenye jeshi la polisi?
Kuwepo kwao ndio kunahalalisha matukio hayo?Mbona wako mjini kila siku na magari ya polisi wakiwa kiraia na silaha au sheria imekataza?
Kama unao ushahidi kuwa ndiyo watekaji unaweza kwenda mahakamani moja kwa moja ukawashtaki bila kupitia polisiNiko kijiji cha JamiiForums, umeelewa muktadha wa swali langu na hizo picha?
CID ndio wasiojulikana ambao polisi wanasema hawawajui.
Kuwepo kwao ndio kunahalalisha matukio hayo?
Uwepo wao umesaidiaje kuwatambua wahalifu ilhali kuna matukio yametokea mchana huo unaosema wapo na magari yao?
Hivyo tunakuja katika point yangu kuwa hao ndio wanaoteka watu na sio kusaidia ulinzi wa watu na mali zao.
Hilo genge lingekuwa na umuhimu basi lingesaidia matukio mengi sababu hawana sare wala utambulisho rasmi hivyo wangeweza kuzuia matukio mengi amabayo yameitia nchi doa.
Ukisikiliza Sativa alivyotekwa , mzee Kibao na Mdude utakuja kuona watekaji ndio hao hao..
Dah,Niliwahi kuambiwa na afisa mmoja wa juu wa vyombo vya usalama kuhusiana na huyo Abduli, kwa kweli inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Wanasema huyo mtu ni kama ana jeshi lake binafsi linaloripoti kwake moja kwa moja. Na mipango yote inafanyika nyumbani kwake. Na nyumbani kwake kuna mifumo ya ulinzi wa ajabu aliyoyengenezewa na wachina. Na hiyo nyumva yake, ni kama bank, kuna mamilioni ya dola zimerundikwa tu. Na kuingia ni kwa sensor ya vidole vya watu wachache sana. Wengine wote kuingia huko kwake ni lazima uongozane na hao watu wake anaowaamini. Hapo nyumbani kwake ndipo mipango yote haramu ya kuwaangamiza watu, uporaji wa rasilimali za Tanganyika, ndipo hufanyika.
Bora hata Kwan Ridhiwani hakuwa akiacha kivuli au alama ya kuruhusu watu kuunga doti. Kwa huyu anaacha vivuli na alama nyingi za kutia shaka na kuwezesha watu kuunga doti. Unga doti mambo yafuatayo:Poroja tupu na majungu
Huyo jamaa wa nyumaa hapo ndoo huyu aise 👇👇👇👇😭😭Ile siku wanafungia kanisa la Gwajima na watu walivyogoma kulikuwa kuna hao watu walioshika bunduki katika mavazi hayo.
Sasa kama imekuwa ngumu kuwatofautisha polisi na vibaka basi amini watekaji wanatokea huko huko polisi katika mfumo tofauti tu wa kimavazi na muonekano.
View attachment 3476690
"Waislam hawana akili"Waislamu hawana akili yatazame matoto yao yanavyo tumika vibaya dhidi ya taifa
Na wewe kwa kutumia akili yako unakubaliana na kitu kama hicho?Consultants wa haya mambo nasikia ni waarabu. Yaani mfumo wetu ni kama umekuwa by-passed, na upo upo tu ila main architecs wa mipango yote ni waarabu na mtoto pendwa Abdu.
Uchoyo, umasikini na roho mbaya tu ndio vinavyokusumbueni.Bora hata Kwan Ridhiwani hakuwa akiacha kivuli au alama ya kuruhusu watu kuunga doti. Kwa huyu anaacha vivuli na alama nyingi za kutia shaka na kuwezesha watu kuunga doti. Unga doti mambo yafuatayo:
1. Gari la ROLLS Royce kukutwa na jina lake. Amepata wapi fedha za kununua gari hilo? Pia alikutwa nalo Airport gari hilo..
2. Kwenda Uganda kutaka kuwekeza katika umeme na akapiga picha na Rais Museven yupo Ikulu. Ameanza lini kufanya biashara na kufikia level hiyo ya uwekezaji? Mbona hayupo katija orodha ya walipaji wakubwa wa kodi?
3. Kuongozana na Rais katika msafara ulioobeba wafanyabiashara wakubwa, alienda Marekani na mpaka Rais akamtambulisha, je yeye ni Nani? Mfanyabiashara au mtumishi wa Serikali?
Hizi tatu ni doti za uhakika na zenye ushahidi kwanini watu wasiamini hizo nyingine?
HayadumuWanachofanya ni kuhakikisha wanaweka "succession plan", plan itakayowalinda wao na vizazi vyao. Ndio maana JK alivurugwa sana kuona EL anapata nguvu na kutaka kuingia State House, walikuwa marafiki ila wakakosana so jamaa alikuwa na hofu kubwa.
Hata ⌚️ 100 analijua hilo, atahakikisha ni mtu wa kulinda maslahi yake na vizazi vyake.
Mkuu hao wote ni mazwazwa tu.Na wewe kwa kutumia akili yako unakubaliana na kama hicho?
Yaani wanajazana ujinga tu.Mkuu hao wote ni mazwazwa tu.