Kwanini hawakanushi mtoto wa Rais Kuhusika na utekaji?

Kuna viashiria vingi sana kumhusisha Abdul na watekaji. Mzee Ali Kibao kwenye kikao chake cha mwisho cha Kamati Kuu aliahidi kuwa kikao kijacho angeweka ushahidi wa jinsi Abdul anavyomwaga hela Chadema ili kukivuruga Chadema na hakuwahi hata kufika nyumbani kwake Tanga akadakwa na vijana wa Abdul pale Tegeta Kibo Complex na kesho yake maiti yake ikaokotwa Ununio. Abdul ni nunda mla watu.
 
Huyo wa Nyuma sio mjukuu wa Mama Abduli (F.M.Twaibu )
 
Jf kama kijiwe cha wahuni kwa aina hizi za story
 
Kama unao ushahidi kuwa ndiyo watekaji unaweza kwenda mahakamani moja kwa moja ukawashtaki bila kupitia polisi
Mtu aliyetekwa na kunusurika akarudi mzima ni Sativa na wakatishia kumteka tena hadi akaomba asylum sasa kungekuwepo na ushahidi zaidi ya huo kwanini hawakutaka kuendelea na hatua za kesi?

Huyu ndio shahidi namba moja ambaye kabla ya kutaka rasmi kutoa ushahidi alinusurika tena jaribio la kutekwa ndio akaamua kwenda uhamishoni.

Ukweli unajulikana na ndio maana habari yake ilipewa uzito akapata kuhojiwa BBC huku vyombo vya Tanzania vikivaa miwani ya mbao kama havijui kilichotokea na hadi wengine kukata matangazo ya BBC.
ukawashtaki bila kupitia polisi
Uliwahi kuona wapi wanaotuhumiwa wanajichunguza?

Ili uchunguzi ufanyike inatakiwa wanaotuhumiwa ndio wachunguzwe na hawatakiwi kuwa sehemu ya wanaochunguza bali uchunguzi.

Nitajia body gani independent iliyopo Tanzania kama ilivyo Kenya kule IPOA inayoshughulika na uchunguzi wa kipolisi?

Au ndio unataka kuleta maigizo kama ya juzi polisi ambao wapo kwenye kesi ya kubumba ya Lissu wamejiapisha , wewe uliwahi kuona wapi mtu anajiapisha halafu hicho kiapo kiwe halali kwenda kutoa ushahidi?
 
Polepole amehaidi kuleta ushahidi wa siri juu ya kikundi hicho kisicho rasmi kinachofanya matukio hayo ngoja tuone na ndio maana wengine wanatetea ili kuhamisha upepo.
Nawapata vilivyo.
Mwisho wa Mwezi huu Wana Jambo lao la Kimichezo.
 
Apeleke ushahidi wake mahakamani mahakama ndo itatoa haki siyo mitandaoni, mitandaoni hata wewe unaweza kusema chochote
 
Ni kwasababu mama hachokozeki, amesema, akiwa nyumbani zanzibaa
 
Watu kwa kutengeneza scenario za uwongo hamjambo
 
Watasema "...aaah, Polepole amechanganyikiwa huyo, amejizika...!!"
 
Apeleke ushahidi wake mahakamani mahakama ndo itatoa haki siyo mitandaoni,
Apeleke ushahidi mara ngapi?

Bado nakuuliza swali langu la msingi ukishapeleka ushahidi anayetakiwa kuchunguza ni anayetuhumiwa au ni nani?

Nimekuuliza pia kuna chombo huru kama IPOA kwa Kenya kinachoshughulika na uchunguzi huru wa kipolisi?

mitandaoni hata wewe unaweza kusema chochote
Kwani mitandao kilichopo ni mawe na sio watu?

Hiyo mitandao inaendeshwa na watu na na hicho unachokisema kama ushahidi mara kadhaa kautoa huo ushahidi mtandaoni na hao polisi nao wapo mtandaoni kwenye kile kikundi chao wanasema wanajiita wapiga doria mtandaoni.

Sativa akiwa mtandao na mtaani ana tofauti gani au wewe hapo ukiingia JF unageuka robot unatype tu kwa macho bila kutumia vidole?

Think !!
 
Nimeangalia hiyo picture, inaonyesha hao vijana sio police, ni vijana wanaolipwa na kutunzwa vizuri kwa ya...
Huyo mwingine ana masharafa usoni
Kwaio nchi Ina kikundi Cha waasi na jwtz wako kimya tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…