Kwanini hawakanushi mtoto wa Rais Kuhusika na utekaji?

yaan hili la Abdul ilitosha kabisa Sa100 kukaa pembeni. Kma hatua mathubuti hazitachukuliwa, uko mbele ya safari kuna damu nyingi za watanzania zitamwagwa kwa jina la Sa100.
 
Kwa uhuni wa uchaguzi huu unavyofanyika, kama wananchi wakiliacha lipite kimya, basi ndo itakuwa tumehalalisha utaratibu mpya wa kuingia madarakani, atakuja Nchimbi maana atasema yeye alikuwa makamo kwa miaka mitano, hvyo anastahili kuwania Uraisi, na itapitishwa juu kwa juu na wanamtandao wake kama kwa sa100, funga upinzani, pachikwa kuwa Raisi, and so on…
 
Huyu kijana ana zidi kumtia doa mama yake kadri siku zinavyoenda ndivyo anavyozidi kuharibu.Ataua na kuua mwisho wake atachoka na atalipia hayo mabaya. Mbona Ridhiwani hana roho katili kama huyu kuna namna kwenye malezi wazazi walikosea
Ridhiwan mtu poa sana
 
Kashaenda kutafuta mteja wa kununua mlima kilimanjaro 😁 dubai
 
Tanganyika yetu imetekwa huku tukiangaliana tu 😭😭😭😭
 
Sema wewe umeshindwa kupata ajira ndani ya miaka 10, lakini uwongo wa kusema wameshindwa kutengeneza ajira yeyote, hata mtoto mdogo atakucheka
we ni fala, amini
 
Suala ni Tiss kutoka mikononi mwa Rais ndo hii nchi itakua salama na vitendo vya utekaji vitaisha bila Tiss kuitoa mikononi mwa Rais ni kazi bure
 
Labda sababu anahusika 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…