Kwanini haya hayakutokea kwenye hotuba ya kuahirisha bunge?

johnmashilatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
1,263
Reaction score
1,753
Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari.

1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe.

2. Mv Mwanza imeishia wapi?

3.ujenzi wa barabara za njia nne wa Mza- Usagara na Mza kisesa, ingawa nimesikia maeneo mwmgine yakitajwa.

4.ufafanuzi wa mgongano wa msimamo miongoni mwa taasisi za serikali. Polisi wanafunga kanisa kwa amri ambayo mtoaji wake anaikanusha nk.

5.Natafakari. spika na bunge lake wanajisikia vipi baada ya polisi kuagizwa kushughulikia watu wasipotee?

5. Hili najiuliza mwenyewe: kwa nini hakukuwa na uwakilishi wa kamisa la RC kwenye tukio hilo?
 
Acha ubaguzi na umimi. Nchii ni kubwa na kila sehemu kunahitaji maendeleo Sawa.Kila mipango inaenda Sawa na vipaumbele na siyo shauku.
 
Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari.

1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe.

2. Mv Mwanza imeishia wapi?

3.ujenzi wa barabara za njia nne wa Mza- Usagara na Mza kisesa, ingawa nimesikia maeneo mwmgine yakitajwa.

4.ufafanuzi wa mgongano wa msimamo miongoni mwa taasisi za serikali. Polisi wanafunga kanisa kwa amri ambayo mtoaji wake anaikanusha nk.

5.Natafakari. spika na bunge lake wanajisikia vipi baada ya polisi kuagizwa kushughulikia watu wasipotee?

5. Hili najiuliza mwenyewe: kwa nini hakukuwa na uwakilishi wa kamisa la RC kwenye tukio hilo?
Huko mwanza si ndo mmefanyia tambiko hangaya ashinde pambaneni na hali yenu
 
John Maviatu, umefuatilia hotuba ya wizard ya ujenzi?
 
Back
Top Bottom