walikuja jamaa WRC kina sebastian loeb,
hapa tanzania tuna wakali mbaya.
mashindano yetu ni ARC,GURU NANAK ETC.
kuna
Jamil khan.
gerald miller (babu)ila amestaafu.
gurjeet
pandya
kula vumbi
STADO(humu ndani yupo mkwawa,omar bakhresa,ahmed uwel na wengine).
hii mashindano ilianza zamani hapa tanzania.
toka enzi za nyerere.
mababu waliomba kibali enzi hizo kwa mzee akawakatalia.
baadae wakamuingia kwa gia za kiccm akakubali.
hii gemu inahitaji pesa sana.au udhamini mkubwa otherwise huwez kutoboa km pesa zako mbuzi.
gari kama EVO12 iko karibia mil300.
ununue gari mil300 afu ukaibamize hivyo sio mchezo.
kenya wana udhamini mkubwa sana kuliko bongo.ndio maana RALLY kule inaeleweka.