Boss Man
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 458
- 991
Wajuzi wa mambo naomba kuuliza, kwanini hii Event (World rally Champion) haijawahi kufanyikia hapa nchini kwetu, au ilishawahi ni mm ndio nilipitwa na kama haijawahi kufanyika sababu ni zipi? Kama Kuna Mpango wa hii Event kufanyikia hapa naomba kujua taratibu za kujiunga na mm nishiriki
Naona wenzetu Kenya wanatupiga bao, mara ya pili mfululizo Sasa Ina host hii Event...Au ni ya kwao?
Naona wenzetu Kenya wanatupiga bao, mara ya pili mfululizo Sasa Ina host hii Event...Au ni ya kwao?