Kwanini haya mashindano hayafanyiki hapa Tanzania

Kwanini haya mashindano hayafanyiki hapa Tanzania

Boss Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2022
Posts
458
Reaction score
991
Wajuzi wa mambo naomba kuuliza, kwanini hii Event (World rally Champion) haijawahi kufanyikia hapa nchini kwetu, au ilishawahi ni mm ndio nilipitwa na kama haijawahi kufanyika sababu ni zipi? Kama Kuna Mpango wa hii Event kufanyikia hapa naomba kujua taratibu za kujiunga na mm nishiriki

Naona wenzetu Kenya wanatupiga bao, mara ya pili mfululizo Sasa Ina host hii Event...Au ni ya kwao?
1656069966838_20220624_141839.jpg
 
Tatizo letu Tanzania ni wadhamini WA hayo mashindano nakumbuka zamani haya mashindano yalikuwa yanafanyika kule kigamboni na morogoro pia
 
walikuja jamaa WRC kina sebastian loeb,
hapa tanzania tuna wakali mbaya.
mashindano yetu ni ARC,GURU NANAK ETC.
kuna
Jamil khan.
gerald miller (babu)ila amestaafu.
gurjeet
pandya
kula vumbi
STADO(humu ndani yupo mkwawa,omar bakhresa,ahmed uwel na wengine).
hii mashindano ilianza zamani hapa tanzania.
toka enzi za nyerere.
mababu waliomba kibali enzi hizo kwa mzee akawakatalia.
baadae wakamuingia kwa gia za kiccm akakubali.
hii gemu inahitaji pesa sana.au udhamini mkubwa otherwise huwez kutoboa km pesa zako mbuzi.
gari kama EVO12 iko karibia mil300.
ununue gari mil300 afu ukaibamize hivyo sio mchezo.
kenya wana udhamini mkubwa sana kuliko bongo.ndio maana RALLY kule inaeleweka.
 
walikuja jamaa WRC kina sebastian loeb,
hapa tanzania tuna wakali mbaya.
mashindano yetu ni ARC,GURU NANAK ETC.
kuna
Jamil khan.
gerald miller (babu)ila amestaafu.
gurjeet
pandya
kula vumbi
STADO(humu ndani yupo mkwawa,omar bakhresa,ahmed uwel na wengine).
hii mashindano ilianza zamani hapa tanzania.
toka enzi za nyerere.
mababu waliomba kibali enzi hizo kwa mzee akawakatalia.
baadae wakamuingia kwa gia za kiccm akakubali.
hii gemu inahitaji pesa sana.au udhamini mkubwa otherwise huwez kutoboa km pesa zako mbuzi.
gari kama EVO12 iko karibia mil300.
ununue gari mil300 afu ukaibamize hivyo sio mchezo.
kenya wana udhamini mkubwa sana kuliko bongo.ndio maana RALLY kule inaeleweka.
Nimekuelewa sana asee, shukrani
 
Ukweli mchungu viongozi wetu ni wabinafsi na wanaangalia matumbo yao na familia zao,kumbuka Ile clip ya containers za fedha!,haya mashindano yanaitangaza nchi hasa kiutalii, awamu ya kwanza tulikua na East African Safari rally, yalitutangaza sana kidunia na vihiyo wetu wakatia unaa wao, pale Mkwawa University kulikua na underground ways,kuanzia shaaban robert west hadi Adm.block, kihiyo mmoja akaamua zifungwe!!
 
Kabla ya kuitamani WRC, tungepambana East Africa Safari Rally ingerudi na kupita mikoa mingi ya Tanzania. Mwaka Jana walienda Mpaka Arusha, miaka ya nyuma East Africa Safari Rally walikuwa wanapita mikoa mingi Arusha,Tanga,Pwani, Morogoro, Iringa na Mbeya.

Hii Ndio iliitangaza Kenya sababu ya Kuwa waandaaji, na imewasaidia Mpaka WRC Mwaka Jana ikachezewe Kwao.

Safari Rally miaka Hii ingesaidia sana kutangaza vivutio tulivyonavyo na inajumuisha watu wa mataifa tofauti na Mashindano ya East Africa Safari Rally ndio Mashindano ambayo wazungu waliamini ni magumu sana sababu ya kucheza umbali mrefu na kupita Sehemu tofauti
 
Back
Top Bottom