Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Sukuma gang kwisha habari zenu

Vipi mna umeme na maji huko kwenu? Huku kwetu tangu asubuhi hatuna umeme wala maji. Wasukuma walijua kunyoosha nchi, sasa cha moto tunakiona.
 
Vipi mna umeme na maji huko kwenu? Huku kwetu tangu asubuhi hatuna umeme wala maji. Wasukuma walijua kunyoosha nchi, sasa cha moto tunakiona.
Hakuna tuachoweza kujivunia kilichofanywa na sukuma gang zaidi ya ubaguzi
 
#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
CcM imara angeijenga Magufuli si kwa ushabiki Ila kwa misimamo na uthubutu wake.

Kuna muda unaona bora Mangi amle Mkeo kuliko Muha maana atataka kumuoa kabisa
 
Back
Top Bottom