CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
#2025Fever itawapotezea muda wenu bure,hakuna wakumuangusha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi hizi kubwa na nzuri anazozifanya,
#KAZIIENDELEE NA MAMA
#KAZIIENDELEE NA MAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuendelee kuchapa kazi,===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
Itayumba hadi kuanguka kabisa,#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Watata sana hawa mabwana,===

vuvuzela usiyeweza kujibu hata hoja nyepesiUnapingana na mwongozo wa Chama?
Kazi iendelee===

Siku zinakwenda mbio sana,===

Hiv wewe hata hujiulizi??? Katibu kiongozi mlinganishe na Katibu Mkuu wa ccm?? Katibu kiongozi mkubwa sana Sana Ndo ingine ya nchi===

Longo longo tu na Rais ana kofia ngapi?Utaratibu wa CCM "mtu mmoja kofia moja "unajua hili?
Itayumba sana#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Utata mtupu, Karma===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
Aliyewavua Uongozi hawa mabwana wala sio Rais Samia Suluhu Hassan===

Mzee aliwasoma mapema===

OyeeeeCCM oyeee
Vugu-Vugu umenena yakweli tupu,#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Vugu-Vugu swali lako na hoja yako kwa ujumla ni nzuri. Lakini hili ni suala la wasomi au waandishi wa habari za uchambuzi kulifanyia uchunguzi wenye data na siyo kutoa majibu yanayotokana na hisia! Hata hivyo ningependa nikufikirishe. Kama wewe ungekuwa Marehemu Rais Magu wakati wa uzima wake, ukashinda uchaguzi mkuu karibu asilimia 100, je hungependa kuwapa hongera na likizo watendaji wako wakuu kwa kuwabadilishia majukumu yao? Unawabakiza kwenye Chama wafanye nini ikiwa kwa miaka 5 inayofuata Serikali ni yenu? Pili je huko walikopelekwa si ndiyo kazi kuu inakofanyika kwa miaka 5 ijayo? Je ukiwa na watu wako hao huko haikupi uhakika wa unachotaka kifanyike kikafanyika kwa mujibu wa rekodi ya utendaji wao hata kama hukubaliani na mbinu zao!? Fikiria!===