Mkuu hili sio Serikalini ni kwenye Chama tu kama nimeelewa vizuri
Jiwe alikuwa hamuongezei mtu cheo kingine iwapo alikuwa anatumikia nafasi nyingine sio kwenye chama na hata serikalini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hili sio Serikalini ni kwenye Chama tu kama nimeelewa vizuri
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu.
Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya KSh37,525 au $334 sawa na TZS 770, Two ways.
Lazima tufahanu kuwa mwendo huu wa kasi wa ATCL ni kabla ya ujio wa ndege mpya tano za kisasa zinazotarajiwa kuingia nchini ndani ya kipindi kifupi kijacho, hakika hakuna kama Rais Samia.
Uko sahihi 100% mkuu,#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole
Nakuunga mkono 100%Kabisa hasa kwakua vyma vingine vimeamua ku compromise utaifa wetu...CCM madhubuti iwe ndiyo objective ya kila mtu ili tuondoe wababaishaji wote
Kwani wewe mkubwa?Hivi umewaandikia watoto au sisi members?
HahahaYatima bado unalialia? Hii ni zamu ya wakojani, kutesa kwa zamu.
Tanzania na Samia,===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
Astakafilullah!!😊😊😊, Mwe muwe na lugha za stara wajemeniHawezi kupumzika kwa amani mtu mshenzi kama yule.
Asante Mungu kwa kutuondolea huyu shetani bila umwagaji damu.🙏🙏
Utaratibu wa CCM "mtu mmoja kofia moja "unajua hili?
Ndio maana Hayati aliwatimua hawa mabwana===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.
Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.
Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.
" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.
View attachment 2009572
===

#nakupenda Tanzaniaexpand...
Mzee aliona mbali===

Mawazo mgando. Not progressive, timidity, lack of seen future in the right perspective.#Tanzania bila CCM imara itayumba sana tuipiganie,
Utaratibu wa CCM "mtu mmoja kofia moja "unajua hili?
Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CDM.
Kila mwanasiasa ana dau la kununuliwa. Mfano Dkt.Slaa, Dk.Masinji, Lijualikali, Halima Mdee, Yule aliyekuwa mbunge wa Alumeru n.k
Nawakubali Tundu Lissu na Mbowe maana hawana dau labda wazibwe midomo.
Hayati Magufulialiyempa ubunge wa viti maalum Pole pole ni magufuli au Samia?