Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.

Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.

" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.

View attachment 2009572
Kwani nani amekwambia wao wanalalamikia hizo nafasi
Wewe na wenzako mdo mnatabili uongo kuwa waliondolewa kwenye nafasi sasa wanahasila.
Uongo wenu mnautak uwe ndio mawazo yao huku wao hana hanali hizo.
 
Sasa Chama kimewakosea nini?
 
Hawa chawa wanaumia Sana kukosa pa kufyonza chama kimerudi kwa waliowakejeli,
 
Baada ya uchunguzi mkuu ambao ulilamikiwa na vyama vya upinzani kwa kutokuwa huru na haki, polepole akuondolewa nafasi ya k/mwenezi, bali aliongezewa ubunge wa kuteuliwa, na kakurwa yeye alipanda cheo na kuwa balozi na kuteuliwa kuwa katibu kiongozi. Vyote vilifanyika kipindi cha jiwe, chifu alivyoingia alitengua nafasi ya katibu kiongozi na kumpa ubunge wa kuteuliwa. Sasa ueleweki unachokisema hapa!
 
Mbowe nae anapaswa kutuambia kuhusu utaratibu uliotumika mpaka yule tulieaminishwa na chama kuwa fisad papa kupewa nafas ya kugombea urais kwa njia ya kubadil gia angani au kwel jamaa hiyo nafas aliinunua???
Anzisha uzi wako juu ya hilo utajibiwa kisawa sawa acha kuchanganya mada.
 
===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli.

Kwamujibu wa Sera mpya ya "CCM MPYA " waliyoiasisi wao wenye chini ya Uenyekiti wa Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli kwamba " Kofia Moja Mtu Mmoja" Iliwatupa nje ya uongozi wa Chama automatically baada tu ya wao kukubali Uteuzi wa Ukatibu Mkuu kiongozi na Ubunge wa Bunge la JMT kwani walishakosa sifa za kuwa katika nafasi zao kwa sera yao hiyo hiyo mpya ya Chama.

Wakati flani nawashangaa wana-CCM wanaompakazia Mwenyekiti wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan kuwa ndie aliyewaondoa kwenye nafasi zao za Uongozi ndani ya Chama hawa mabwana jambo ambalo "Si-kweli", Kibaya zaidi watu hawa wote ni walimu na mwingine anayo shule ya Uongozi ila sijawahi kusikia wakilitolea Ufafanuzi jambo hili "Kofia Moja Mtu Mmoja " kwenye nafasi zao kama wanavyofanya kwa mambo mengine , Naamini baada ya hili andiko watalitolea ufafanuzi jambo hili kwaajili ya ustawi wa Chama na Serikali kwa ujumla wake.

" Kofia Moja Mtu Mmoja " Baada tu ya Mhe Humphrey Polepole kuwa Mbunge tayari alishaondolewa kwenye Ukatibu wa NEC Itikadi & Uenezi Wana-CCM mnajua na Mungu anajua lakini pia baada ya Mhe Dkt Bashiru Ally Kakurwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi tayari alishaondolewa kwenye nafasi moja ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi hili Wana-CCM wanajua na Mungu ,CCM msifitinishwe shtukeni.

View attachment 2009572
Mwandishi wewe kiboko,
 
Najaribu kuwaza kwa Sauti kama sio Rais Samia Suluhu leo Tanzania tungekuwa wapi?
 
Eti kofia moja, kwa utaratibu wa chama chetu.
Tuanze na Mwenyekiti ajivue au mmvue cheo kimojawapo

Ajaribu mtu mwakani kwenye uchaguzi ndani ya chama angalau kuonesha nia ya kuuta Uwenyekiti Taifa uone atakavyo papurwa. Hata kama anao uwezo wa Kiuongozi kuliko mkt atambiwa ni msaliti namba moja.
 
Team JF,

MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Ndio tuseme koti la Magufuli ni kubwa sana??

Au kuna maajabu gani yanaendelea??

Kuna nini awamu hii haitulii.

Sioni haja ya kumuingiza Magufuli katika kila jambo linalofanyika sasa.
 
Back
Top Bottom