Ni kweli mtu mmoja kofia moja
Hili Jiwe alilisimamia hata serikalini. Ilikuwa akimteua mtu kwenye nafasi fulani alikuwa anahakikisha kuwa hana wadhifa mwingine na hili alilielezea kuwa kwa Kuwa kuna WATANZANIA wengi wenye uwezo haileti maana kumrundikia mtu mmoja vyeo!!!
Itakuwa vyema kama Rais Samia ataendeleza sera hiyo ya cheo kimoja mtu mmoja tofauti na anavyofanya katika teuzi zake!! Hivi karibuni kamteua Mwenyekiti wa bodi ya ATCL lakini licha ya kazi zake nyingine huyu aliyeteuliwa ni makamu Mwenyekiti wa bodi ya benki ya CRDB!! Pia alimteua naibu Gavana wa benki kuu kuwa mwenyekiti wa bodi ya shirik la Maendeleo [NDC]!!!
Inaelekea washauri wake are taking advantage of what they perceive as lack of attention to detail!!!
Ingemsaidia Rais Samia sometimes to seek advice kwa watu manguli wa uchumi kama Professor Lipumba anapofanya teuzi zinazohusu uendeshaji uchumi wa nchi badala ya kumtegemea Blandina pekee ambae mara zote anapendekeza wakina mama wenzie aliokutana nao kweye Repoa seminars hata pale wasipostahili!!