Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CHADEMA...
Ndiyo maana leo hii mh Mbowe yupo lupango akiteseka kama mhalifu kisa tu aliwakatalia kununuliwa kama watumwa.

Mh Lissu yaliyo mpata hakuna mtu asiye yajua dunia mzima.

Lkn kina Lijualikali waliokubali kugeuzwa mlenda leo wanapokea mishahara minono.
 
Every general rule has exception; mtu mmoja, kofia moja halimgusi Mwenyekiti wa Chama. Yeye alikuwa na anaendelea kuwa na kofia mbili.
 
Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CHADEMA...
Polepole, alisogezwa Bungeni, ili kwenda kusimamia ile "ATAKE ASITAKE, TUTAMLAZIMISHA!".

Alikuwa anasema, JPM hana mpango wa kutaka kujiongezea muda, lakini hapo hapo, alikuwa anasema, wanaosema aongezewe muda tusiwazuie kushauri hivyo!
 
Ni wakati sasa CCM iwaulize balozi Bashiru na Mwalimu Polepole namna walivyoweza kununua wapinzani kutoka CDM.

Kila mwanasiasa ana dau la kununuliwa. Mfano Dkt.Slaa, Dk.Masinji, Lijualikali, Halima Mdee, Yule aliyekuwa mbunge wa Alumeru n.k

Nawakubali Tundu Lissu na Mbowe maana hawana dau labda wazibwe midomo.
Ww ndo hujui kbs yaan Mbowe asipende hela hahahaha
 
Magufuli safari na kazi yake alishaimaliza tumuache apumzike kwa amani huko aliko kwa sasa hana kauli tena!
Nashindwa kukuelewa, wewe ni kinyonga au popo??? Simamia na kuitetea unachokiamini. Ref Uzi wako wa Juzi.
 
Back
Top Bottom