Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

Maslahi gani?
Naamini wewe akili kichwani hazimo.
Alikuwa na maono na alijua kwa jinsi alivyojiweka, ila hakujua kivipi na lini.

Hakika anakumbukwa sana na wengi, nyuzi zake bado zatawala JF.

Kazi iendelee
kabisa, nchi hii tungepata rais kama Moringe Sokoine na akaja Dkt Magufuli nina uhakika nchi yetu ingekuwa tajiri sana na maendeleo makubwa. Kilichopo sasa ni kuibiwa kutumia elimu na tamaa
 
Alikuwa na maono na alijua kwa jinsi alivyojiweka, ila hakujua kivipi na lini.

Hakika anakumbukwa sana na wengi, nyuzi zake bado zatawala JF.

Kazi iendelee
Maono yake haswa yepi ?

Sema unamkumbuka sana wewe na mnaefanana nae tabia ya kikatili
 
Kwa miaka yake sita alitetea vipi nchi ?

Alifaham fika kila kilichozaliwa na kiumbe cha kike ni lazma umauti ukifikie

Na yeye aliufahamu hali ake ya kiafya ipoje
Alitulete movie ( loyo tua) sasa watalii wanamikinika mamia kwa maelfu
 
Alitulete movie ( loyo tua) sasa watalii wanamikinika mamia kwa maelfu
Ni kweli ni miongoni mwa maono ya JPM alieshindwa kukamilisha mchakato wa katiba mpya na badala ake akawa ananyoosha nchi .

Laiti kama angelimalizia huo upuuzi wa Sa100 usingelikuwepo hata nukta
 
Tuwe wavumilivu labda Dr Bashiru atatuambia mafisadi walichomfanya
 
Back
Top Bottom