Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

Kwanini Hayati Magufuli alijitabiria kifo mara kwa mara kwa kulinda maslahi ya Watanzania?

kwa mlolongo wa maadui aliojitengenezea yeye mwenyewe kwa interest zake, it was obvious he knew in few years time he may no longer be alive.

maadui zake walijipanga kisawasawa kummaliza kwa silaha za kiroho(maombi/dua/sala/uchawi) na kimwili.
 
Endeleeeni kuchekelea ujinga.
Kule Waziri wa Nishat anatangaza kampuni binafsi za Gesi Taifa Gas.
Mkenda anafanya biashara za kampuni za Mbolea.
Nappe anawapigia debe na wakala wa Makampuni ya Simu za Mkononi bado mnakenua tu nyeyeynyeeee.
Wahuni wameiweka Nchi mfukoni amkeni
 
Alilinda maslahi gani? Hivi unajua maana ya maslahi wewe. Maslahi ni pamoja na kulinda uhai wa watu. Jpm kaua watu kibao halafu unasema kqlinda maslahi, maslahi gani
Hayati Magufuli alikuwa akijitabiria kifo mara kwa mara, je alijua kwa kutetea maslahi ya nchi ndio ingekuwa mwisho wa uhai wake?


View attachment 2422626
 
Alijua kabisa, ndo maana alikuwa akisema amejisacrifice(amejitoa sadaka) kwa ajili ya Watanzania wanyonge.
 
Aliyepita kapita. Ila aliyoyaacha bado hayajamalizika kufutika. Ni shida.
 
Back
Top Bottom