Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wanakuja subiri.Huu uzi mbona watetezi wa legasi siwaoni?
Kwa hiyo 'chuma' alikuwa hajiamini kisa hakukua na vita ya Ukraine?Putin alikua hajaanzisha vita na ukreini hii vita inawapa baadhi ya mataifa ya kiafrica kujiamini
Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
Wanachungulia na kupita huu uzi kama hawauoni vile..😂😂Wanakuja subiri.
SwadaktaaaaaaaaKatiba ya Tz haiharamishi hayo mambo; in fact inaheshimu faragha zao na ndivyo response ya serikali ilivyosema kuhusu sakata lile la Makonda. Wanafiki akina Mwakyembe ndio wanajaribu kupindisha ukweli huu wa kikatiba tofauti na wakweli akina T.L.
In short Tz ni pepo ya mashoga na wanalindwa na Katiba kikamilifu.
Kwa hiyo hawa wanaomtukuza huku kila siku kuwa alikuwa shujaa vip! Na wao wamuache?Mwacheni mzee awe na pumziko la amani Nchi yenu alishawachia endeleeni kulamba asali.
Angepata wapi pesa za Sgr na Bwawa la Umeme?Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga.
Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga hawako salama Tanzania.
Serikali ya Magufuli kupitia waziri wake wa mambo ya nje wakasema mashoga wapo salama Tanzania na kuwa vita ya makonda haikuwa na baraka za serikali kuu na Makonda kupewa karipio kali.
Nauliza kwa nini Magufuli alikosa ujasiri kama wa Museveni wa kukaza kuhusu mashoga? Yaani akatoa uhakika kuwa mashoga wapo salama Tanzania?
Si alikuwa anatumia fedha za ndani?Angepata wapi pesa za Sgr na Bwawa la Umeme?
Ndio ulivyopigwa fix si ndio?Si alikuwa anatumia fedha za ndani?
Uzi wenyewe umekaa kishoga hongera kwa hilo dadaKatiba ya Tz haiharamishi hayo mambo; in fact inaheshimu faragha zao na ndivyo response ya serikali ilivyosema kuhusu sakata lile la Makonda. Wanafiki akina Mwakyembe ndio wanajaribu kupindisha ukweli huu wa kikatiba tofauti na wakweli akina T.L.
In short Tz ni pepo ya mashoga na wanalindwa na Katiba kikamilifu.
Kipindi kama hili ndio kilifaa tuwe na rais kama JPM.Putin alikua hajaanzisha vita na ukreini hii vita inawapa baadhi ya mataifa ya kiafrica kujiamini
Saiz Kuna uhuru wa mataifa kujiamria mambo yake. Marekani na west hawaogopwi kama zamani. Hii vita imeleta uhuru flan hiv.Wanasisa wengi matapeli..magu aliwaogopa wamarekani