Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Ata JK kipindi akiwa Rais,kila Jumamosi msululu wa magari ulikuwa unaelekea Msoga nyumbani kwake na anarudi Jumapilli jioni.Miaka hiyo nilikuwa naishi Tegeta!Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.
Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.
Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414
Hiyo historia imeshapitwa na wakati.Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.
Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.
Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.
Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.
Chato kulikuwa na u-special gani hasa? View attachment 2695414
Ukikaa Ikulu unapata hamu na vishawishi vya kuuza nchi ndiyo maana aliona bora akae kwao Chato aangalie Mbuzi wakeMuulize Dr Mwigulu PhD aliyeapishiwa huko!
Yule alikuwa mshirikinaEnzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.
Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.
Chato kulikuwa na u-special gani hasa?
View attachment 2695414
Huu ujumbe unafikirisha sanaBaba Magufuli nyakati zile alikuwa kwanza anaugiza Dada na Mama, baadae Dada alifariki na Mama atabaki hana mtu wa karibu sana, baadae Magufuli nae kafariki na hivi sasa Mama yake bado yupo. Mungu mwema malipo ni hapa Duniani. Waluokebehi na waliodhihaki msibani lao laja. Mungu habagui
Lazima aende akalishe damu yale madubu yake.Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.