Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

Mtu mjinga anaweza kusema chochote bila ushahidi
Alikuchawia kitu gani na wananchi wote mpaka sasa yeye ndio yumo mioyoni mwao?

Huoni kwamba hata mkienda kwenye uchaguzi sasa hivi atawashinda mtu asiyekuwepo duniani?
1695640650511.png
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa?

View attachment 2695414
Ulitaka awe anaenda UK
 
Ukishajua sasa hivi 8natusaidia nini kimaendeleo kama taifa!
Badala ya kuwaza Hoja Hai wewe umekariri
"Hoja Mfu"
Shame on You!
 
Enzi za uhai wake hayati Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya 5 alitumia muda mwingi kuwa kijijini kwao Chato kuliko Ikulu.

Magufuli asingeweza kumaliza wiki 3 bila kukanyaga Chato tofauti na Marais wenzake. Kupenda kwake kwenda Chato ikasababisha tupate ikulu ndogo ya Chato.

Chato kulikuwa na u-special gani hasa?

View attachment 2695414
Ni aina tu ya utaratibu wa mtu na hapakuwa na makosa.kipi bora kula kwa urefu wa kamba na mtu kwenda kusalimia wananzengo wenzake?au kujaza wafanyabiashara kwenye kabineti na mtu kwenda kwao?
 
Mtu kwenda kwao kuna ubaya gani?

Home sweet home.

Hujui tu raha ya kurudi bush ukapiga story na washkaji zako uliosoma nao na kukua nao.

Hasa ukienda una mafanikio kidogo heshima unayopata kutoka kwa wadau ni kubwa sana na ina impact kubwa sana kwenye akili/psychology ya mtu kuliko kitu chochote.

Home is so sweet.
Na ushukuru wasiwe wachawi! Sehemu nyingine hukienda hurudi!
 
Back
Top Bottom