Kwanini Hayati Magufuli alikuwa anapenda kwenda mara kwa mara Chato na kukaa huko kuliko Ikulu?

Ata JK kipindi akiwa Rais,kila Jumamosi msululu wa magari ulikuwa unaelekea Msoga nyumbani kwake na anarudi Jumapilli jioni.Miaka hiyo nilikuwa naishi Tegeta!
Afadhali hakujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa Msoga.
 
Ulitaka awe anaenda UK
 
Ukishajua sasa hivi 8natusaidia nini kimaendeleo kama taifa!
Badala ya kuwaza Hoja Hai wewe umekariri
"Hoja Mfu"
Shame on You!
 
Ni aina tu ya utaratibu wa mtu na hapakuwa na makosa.kipi bora kula kwa urefu wa kamba na mtu kwenda kusalimia wananzengo wenzake?au kujaza wafanyabiashara kwenye kabineti na mtu kwenda kwao?
 
Na ushukuru wasiwe wachawi! Sehemu nyingine hukienda hurudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…