johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Magufuli hakuwa shujaa bali alikuwa mtu mwoga sana kuliko hata kunguru. Kwa ajili ya uwoga wake ndiyo maana kila mkutano na kila ziara alikuwa anezungukwa na IGP Sirro, CDF Mabeyo, DG IS Diwani Athman.Maandamano ya Chadema yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z
Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya Chadema waufyate
Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z hawaogopi wala nini
Ahsanteni Sana π
Aina ya wananchi,tz mabogus wengiMaandamano ya Chadema yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z
Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya Chadema waufyate
Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z hawaogopi wala nini
Ahsanteni Sana π
Kwani Magufuli aliwahi kwenda Uhalanzi hata siku moja kuhudhuria kesi ya mauaji? Unauliza swali ambalo jibu lake lipo wazi?Maandamano ya Chadema yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z
Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya Chadema waufyate
Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z hawaogopi wala nini
Ahsanteni Sana π
Kati ake na CHADEMA nani yupo kaburini?Maandamano ya Chadema yaliyoitwa UKUTA kama yangefanikiwa yangekuwa zaidi ya haya ya Gen Z
Nakumbuka Shujaa Magufuli alitoa Kauli Moja tu " atakayeandamana asije akanilaumu" kauli hii ilitosha kuwafanya Chadema waufyate
Lakini hapo Kenya kila wiki Rais Ruto anatoa Vitisho vipya lakini Gen Z hawaogopi wala nini
Ahsanteni Sana π
Pia kuna njia nyingi za kumshughulikia, alishughulikiwa vizuriKwani Magufuli aliwahi kwenda Uhalanzi hata siku moja kuhudhuria kesi ya mauaji? Unauliza swali ambalo jibu lake lipo wazi?
Pamoja na hayo, kwani Ruto naye anacho kichaa kama Magufuli?
Isitoshe, wewe unafikiri hiyo Katiba iliyopo Kenya sassa hivi uipo kwa mapambo tu?
Wakinga ni washirikinaTofauti zetu ni nyingi mno na unazijua lakini kwa sababu ulanzi uko karibu yako unajifanya kutojua na kuja na maswali ya chechea
Ndesa πΌKati ake na CHADEMA nani yupo kaburini?
UWT mnachangamoto snNdesa πΌ