Kwanini Hayati Magufuli aliogopwa sana na Waandamanaji tofauti na Ruto anavyoonewa huko Kenya?

Magufuli hakuogopwa Bali alifanya kazi nzuri ambayo iliwafanya wtz wasiwe na sababu ya kuandamana.kipindi hicho mambo yalikuwa mazuri tofauti na Sasa Kila siku Nchi inaharibiwa na huyu mama
Hapana! Siku za mwanzoni tu alipoingia madarakani tena akiwa Manyoni, akatangaza marufuku ya mikutano ya siasa, na kuchimba biti kwamba atakaye fanya mkutano atakiona ila yeye akawa anafanya bila shida. Pia kumbuka wakati wa maandamano ya UKUTA jeshi lilingilia kati. Magufuli hakuwa kiongozi Bali Mtendaji, alifaa kwenye uwaziri mkuu sio urais.
 
Yasingefanikiwa

Huwajui watanzania

Sijawahi ona watu wanafiki, waoga, watu selfish kama watanzania

Hii nchi imeoza toka ikulu mpaka mtoto wa darasa la kwanza upinzani umeoza ccm nisiseme kanisa

it is a dead country with its soul lost

Tanzanians we need to have conversations with our souls

Are we ready for that hard conversationd ?
 
Kwasababu walijua yuko sawa kiasi kuliko the past presi...
 
Hakuna mtu angetokea kuandamana wakati robo 3 ya nchi walkuwa wanamkubal hasa hao wanyonge ambao ndio waandamanaji.
Robo tatu gani? Mtu kaingia madarakani kwa asilimia 57% ya kura za urais. Tena hapo kajaziliziwa na bao la mkono na ukabila juu.
 
Anachezewa na nani?. Shida mnataka kiongozi aongoze wananchi Kama ng'ombe. Sio sahihi.

Na hao Gen Z wake. Kila siku wanabadilisha goal post na yeye kama nyumbu anaenda tu. When does he draw the line? Hata mpiga mwingi hawezi chezewa hivi.
 
Maandamano ya nchini Kenya amaarufu GenZ yalifaanikiwa sio kwa sababu ya aina ya oganizition waliofaya. Sababu kubwa ni Polisi kuwa upande wa waandamanaji. Polisi hawakufanya kile walichopaswa kufanya...
Sijawahi kuona polisi legelege kama polisi wa kenya. Tunaambiwa eti kuna polisi wa kenya wamepelekwa kule nchini Haiti kupambana na makundi na magenge ya wahuni na waasi ambao wengi wao wana silaha za moto kama bunduki nk.
Sasa kama wameshindwa kushuhulika na genz wataweza wale wahuni wa port au prince?
jeshi la polisi la kenya limemsaliti Rais Ruto...
 
ChatGPT naona imekudadavulia vizuri tu 😁
 
Magufuli sidhani kama angeweza kuandamana. Na lile tatizo lake la moyo
 

Ruto mwenyewe ni dhaifu. Rais huwezi endeshwa kiboya namna hii. Kusikiliza wananchi ni jambo Moja ila kuendeshwa na watu kufanya uhalifu under your watch ni ujinga. Kila siku wanakuja na madai mapya na yeye anacheza tu mziki wao
 
Kwa sababu alikuwa kichaa na mvuta bangi
 
Usiwafananishe wa Tz na wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…