BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Alikuwa na roho ya kimasikini sanaWakuu habari
Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na marehemu Magufuli bado yananishangaza. Hivi ni kwanini alitoa amri ya kuwapunguzia mishahara watumishi halali wa serikali. Kosa lao kubwa ilikuwa na nini.
Mama ameamu kutowaonea watu, ni Bora mama aliangalie hili na ikimuwia vema awarudishie mishahara yao, na malimbikizo yao Kama alivyofanya kwa TUNDU LISU.
Haikuwa haki kabisa
Kumbe hii ndio ilikuwa sababu. Mi nilikuwa sijui,kuna watumishi walikuwa wanakula pesa ya bure, kazi ndogo pesa nyingi
Upepo upi, wahusika gani. Jamaa kashajibu hapo juu, kuwa jamaa walikuwa wanalipwa zaidi, halafu kazi ndogoUmekuja kupima upepo.?
We wafuate wahusika
Idd. Amin, Hitler, Bokasa, Mobutu nao walikuwa wakuu wa nchi lkn mpk leo wanatukanwa tena siyo kwa maneno ya kupita bali kwa vitabu vilivyoandikwa kuelezea ukatili wao.Usiseme hivyo, alikuwa kiongozi mkuu wa nchi, mpe heshima yake. Pia marehemu hasemwi kwa ubaya
Wakumuuliza hayupo, ameshatangulia mbele za haki, watafutwe wenyewe waulizwe, maana wapo tunaowadai, kipindi kirefu hatujalipwa, sababu ni hiyoWalipunguziwa kutoka kiasi gani mpaka wapi?
We jamaa kuwa serious, yaani taasisi nzima wamzidi mshahara Rais, hiyo haipo Dunia nzimaWalikua wamemzidi mshahara.
Kingine output yao kwa taifa ilikua ndogo kuzidi kipato wanacholipwa.
Kwa hili la Marehemu hasemwi vibaya lazima tukubaliane kwamba JPM hakuwa muuza madafu. Angekuwa hivyo tungeisha msahau zamaniUsiseme hivyo, alikuwa kiongozi mkuu wa nchi, mpe heshima yake. Pia marehemu hasemwi kwa ubaya
Kwanz huyo mtoa mada anafaham au keshawai kwenda pale TMAA akashuhudia kinachoendelea?.. ujue miTz ni mipumnavu sana... Kuna siku niliwai enda pale kuoima mawe yangu fulan.. kwanza ofis chafu.. hakuna cha maana .. lab zao chafu.. walijibu ohh reagent zmeisha.. had zije ndo niende.. nkasema kwel???.. ni hak yao kupunguziwa mishahara... Pu.mbav kabisa.. mtoa mada nae ni popoma.. na wachangiaj nao ni mapopomaWalikua wamemzidi mshahara.
Kingine output yao kwa taifa ilikua ndogo kuzidi kipato wanacholipwa.
Labda, kwa hiyo kazi yao ilikuwa mbovu.inawezekana alipima matokeo ya kazi yao vs wanacholipwa akagundua havilingani..
Una wanga mkuu. Wewe ni wa kule kule usukumani gang..? Watz tunalipwa tumshahara tudogo saaba afu upunguzwe tena..? Si tuta dead meen. Tuwe na fikra fikirishiKuna vitu afrika nikivicheki Na Baki Na shangaa utakuta mtu au mfanyakazi ana penda apate mshaara mkubwa uku uchumi wa inch yake bado mdogo saana
Kwanza hilitakiwa mishaara ipunguzwe kwa uwingi ili serekali ipate watu halali wa kufanya nao kazi sio wapenda pesa
Pili hilitakiwa afrika tupambane kwanza Na kazi ili tupande uchumi wa inch zetu
Sasa utakuta mtu anataka apete mshaara wa shilling milioni 100 uku inch yake Akuna hospitali au nini
Mtoa mada ni ofisa wa hapo anataka wapandishwe mshahara hujamjuaKwanz huyo mtoa mada anafaham au keshawai kwenda pale TMAA akashuhudia kinachoendelea?.. ujue miTz ni mipumnavu sana... Kuna siku niliwai enda pale kuoima mawe yangu fulan.. kwanza ofis chafu.. hakuna cha maana .. lab zao chafu.. walijibu ohh reagent zmeisha.. had zije ndo niende.. nkasema kwel???.. ni hak yao kupunguziwa mishahara... Pu.mbav kabisa.. mtoa mada nae ni popoma.. na wachangiaj nao ni mapopoma