BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Wakuu habari
Baadhi ya Mambo yaliyofanywa na marehemu Magufuli bado yananishangaza. Hivi ni kwanini alitoa amri ya kuwapunguzia mishahara watumishi halali wa serikali. Kosa lao kubwa ilikuwa na nini.
Mama ameamu kutowaonea watu, ni Bora mama aliangalie hili na ikimuwia vema awarudishie mishahara yao, na malimbikizo yao Kama alivyofanya kwa TUNDU LISU.
Haikuwa haki kabisa