ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.
Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka.
Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi.
Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii.
Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini.