Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama ivi ambavyo ameumbuka...
Tumwache, ameishakufa
 
Mtu pori alikua na IQ ndogo sana.

Yaani hata exposure ilikua zero.

Mambo ya international affairs ndo kabisa

Yaani hata historia ya nchi ilimpiga chenga aisee.

Ni mshamba flani aliyepata madaraka kwa upepo tu uvumao kwa msimu sijui ndio aliendaga gambosh kuchukua tunguri za ushawishi kwa nyumbu wa lumumba yaani watu wenye akili timamu hata fomu alikua sio wa kufikiriwa aisee

Sina wivu enyi walinda 'legasi'.

Huo ndio ukweli wa jamaa yenu madaraka yalimzidi akili.

Alinishangaza sana pale alipoutangazia umma kwamba awamu za nyuma zilikua za mafisadi na sio wazalendo ukimuuliza yeye alipokua waziri hio migao ya kifisadi aliikataaaa hapana alikua mmoja wapo ya mbwa mwitu walewale.

Ile kupata kacheo tu akawasnich wenzie et wapigaji yaani mtu pori angekua nchi Kama Colombia au Mexico wangemlima kichwa mapemaaa kwa usnich aisee
😂😂😂😂
 
Mtu pori alikua na IQ ndogo sana
Yaani hata exposure ilikua zero..
"Mtu pori" dah 😁😂🤣

Yaan kwa spana hizi anazopigwa akiamka hakika anawakata vichwa wote. Ila mwamba alikua mbad sana, imagine population ya 60M+ wakaufyata na wakaangunga mbele yake? Lkn huyu mwamba duniani hapa ni mshindi ila kwa kifo nae akaufyata.
 
Mzee wa ligasi sio mimi nilieyasema haya apana bali ni mama SSH raisi wa sasa uchumi wa nchi kwa mwaka 2020 umeshuka kwa koasi cha 4.6 so probably Magu alikuwa anapika data za uongo uongo mzee usinipige mshale sio mimi

sasa kama umeshuka means ulikua juu si ndio? na magu hakupika data nmefuatilia record zote za world bank na BOT almost znafanana na kibaya zaidi ukiskia uchumi umepanda hutaki kuamini unataka kuskia uchumi umekufa? unafaidika nn na taarifa za uchumi kushuka?
 
Ukiona mtu anaongelewa sana basi ujue alipendwa na wengi..manake tunae Raisi mpya ila bado Magufuli on trending...
 
Yule hakua kiongozi mzuri, alibahatika tu kua Rais lakini hakufaa,
 
Ni kawaida mshamba anapotaka umaarufu anaweza kufanya lolote hata kuvua nguo.

Yule jamaa alikuwa mwehu haijawahi kutokea! Kwake uongo ndio ulikuwa maisha yake.

Nakumbuka kipindi cha kampeni kulikuwa na magari mengi mtaani yaliyokuwa na plate number zilizoandikwa JPM2020, magari haya mengine ni ya wajinga fulani waliokuwa wakimsifu na kuuabudu uongo wake
We lofa kweli, hivi kuna jitu liongo duniani kuliko Lissu?
 
Yeye anaesema tunakela alete zisizokela afu wengine tunamaindi Sana uongo unadanganya kwa masilahi ya nani
 
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.

Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka.

Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi.

Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii.

Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini.
Alifanya kazi kwa namna yake
Kuhusu ukweli wake au uongo wake kila mtu anamtazamo wake katika hilo

"Maisha ni kusafiri njiani tu, sio kila mtu unayekutana naye njiani ataitikia salamu yako"
 
Mayb' hwsnt lying!!? [emoji102][emoji102][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana!

Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?

Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
Sasa unabishana na maiti?atakujibu nn...
 
Yaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.

Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka.

Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi.

Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii.

Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini.
It pains
 
Tangu lini muongo akaacha asili Mkuu? Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kainusuru Tanzania yetu kwa maovu mengi ya kutisha.
dah at last sasa tunapumua...manake duh ....kukaa mafichoni miaka mitano ilikuwa si mchezo
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom