Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

SNA tatizo nae,Nina tatizo na hawa waliomsujudia hadi kumlinganisha na Mwenyezi Mungu, huku wakijua wazi wamadanganywa! Alikua anajua wanachokitaka CCM, UONGO
 
"ndugu zangu msema kweri mpenzi wa Mungu"

Shwain....
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah umenchekesha sana wewe jamaaa
 
Ligasi ya uongo inaendelea....
 
Rais gani wa africa wewe umemuona mkweli, tena sio Africa tu duniani
 
Jiwe anaweza kufufuka..maana Ligasi yake inararuliwa ile kiroho mbaya kabisa.
 
Wana wanamsagia kunguni kweli kweli yani
 
Akiyasema haya makamu wake, waziri mkuu na waziri wa fedha walikuwa wapi? CCM ni hao hao usiku na mchana.

 
Hivi takwimu za ukuaji uchumi hutengenezwa na rais au Kuna organs au taasisi za ndani na nje kama WB n.k ? Sasa kama nchi kupika takwimu si kila nchi ingejitangazia asilimia inazotaka ?
 
Mzee wa tunajenga miradi mikubwa kwa fedha zetu za ndani.
Siku mbili mbele unakuta wako benki ya dunia kwenye korido.
Wakiomba mikopo kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa
 

Kua miradi yote tunajenga kwa fedha yetu finally wachina hawa hapa reli isaka to mwanza , makutopora tu isaka mkopo!
 
Mimi nafikiri hayo yote aliyafanya ili awe mtawala wa muda mrefu kama akina Kagame na M7
 
Maneno ya Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, yalikuwa na ukweli kwa asilimia nyingi sana! Hakuwa Presidential material. Alitakiwa awe Mnyapara wa barabara.

Nafasi ya Urais ilimzidi nguvu! na ndiyo maana ilimuendesha na kumvuruga mwanzo , mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…