Kwanini Hayati Magufuli hakuamua kuwa mkweli

Tangu lini muongo akaacha asili Mkuu? Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kainusuru Tanzania yetu kwa maovu mengi ya kutisha.
 
Acha chuki haitakusaidia chochote isipokua utaumia roho tu
 
Mrundi hawezi kua mkweli kwa mtanzania,hata mpango nae mrundi mwenzake
 
His chapter is closed hata ukimuhukumu hawezi kujitetea and who knows which is which kesi huwa inasikilizwa pande mbili may be he was not lying!!! Nan ajuaye?hebu mpumzisheni Makufuli this Makufuli that he is dead and gone ili mfurahi mlimchuria mno...let him rest...
 
Mayb' hwsnt lying!!? [emoji102][emoji102][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana!

Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?

Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
 
Yan maju amefunikwa na mama mpaka aibu!!! Yan MTU ana PhD hata kuongea hajui!?? Haki ya Mungu!!! Daaa
 

uchumi kwa kipindi gan ulikua unakua kwa asilimia 4%?
 
Mayb' hwsnt lying!!? [emoji102][emoji102][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana!

Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?

Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
Et a asema may be he wasnt lying .mmh kwa kweli nimeshangaa lakini hawa ni wazee wa legacy so wao hawauon uongo wa jamaa mfano ukimuuliza yani kwanini jamaa alidanganya kwmba sgr tunajenga kwa ela zetu wakati ni ela za mikopo alikuw na shida gani kutudangany kwa tz hamna corona alafu mwisho wa siku Corona ikamtafuna yeye mwenyewe alikuwa anamaanisha nini
 
uchumi kwa kipindi gan ulikua unakua kwa asilimia 4%?
View attachment 1771668
Mzee wa ligasi sio mimi nilieyasema haya apana bali ni mama SSH raisi wa sasa uchumi wa nchi kwa mwaka 2020 umeshuka kwa koasi cha 4.6 so probably Magu alikuwa anapika data za uongo uongo mzee usinipige mshale sio mimi
 
Dawa ni kumzika kama wanavyozikwa Wabaniani tu.
Achomwe Moto na jivu lake litupwe baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…