fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Tumwache, ameishakufaYaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama ivi ambavyo ameumbuka...
"Mtu pori" dah 😁😂🤣Mtu pori alikua na IQ ndogo sana
Yaani hata exposure ilikua zero..
Muongo mkubwa yuleAlidanganya ati wakati anaingia madarakani bei ya sukari ilikua 5000
Mzee wa ligasi sio mimi nilieyasema haya apana bali ni mama SSH raisi wa sasa uchumi wa nchi kwa mwaka 2020 umeshuka kwa koasi cha 4.6 so probably Magu alikuwa anapika data za uongo uongo mzee usinipige mshale sio mimi
Na pia ukizoea sana kusema uongo inafika mahali wewe mwenyewe unaanza kuuamini huo uongoUongo pia ni kipaji halafu ni hobby ..kuna watu wasipodabganya wanaumwa
We lofa kweli, hivi kuna jitu liongo duniani kuliko Lissu?Ni kawaida mshamba anapotaka umaarufu anaweza kufanya lolote hata kuvua nguo.
Yule jamaa alikuwa mwehu haijawahi kutokea! Kwake uongo ndio ulikuwa maisha yake.
Nakumbuka kipindi cha kampeni kulikuwa na magari mengi mtaani yaliyokuwa na plate number zilizoandikwa JPM2020, magari haya mengine ni ya wajinga fulani waliokuwa wakimsifu na kuuabudu uongo wake
Kama Tundu LissuUongo pia ni kipaji halafu ni hobby ..kuna watu wasipodabganya wanaumwa
Na pia ukizoea sana kusema uongo inafika mahali wewe mwenyewe unaanza kuuamini huo uongo
uelewa wako ndio umekufanya wewe uelewe kuwa tupo uchumi wa kati,sababu tu ya ndege na flyoverJaribu kuficha ujinga wako !!!
Anayedecide nchi flani ni middle income sio rais wa nchi Wee kiazi so ficha ujinga wakouelewa wako ndio umekufanya wewe uelewe kuwa tupo uchumi wa kati,sababu tu ya ndege na flyover
Alifanya kazi kwa namna yakeYaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.
Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka.
Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi.
Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii.
Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini.
Sasa unabishana na maiti?atakujibu nn...Mayb' hwsnt lying!!? [emoji102][emoji102][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana!
Lile shirika la ndege alilosema limeingiza faida ya bln. Kadhaa je!?
Yule alikuwa ni muongo na muovu by default"
It painsYaani nimekaa leo najiuliza kwanini the late one aliamua kuwa mtu muongo na mpika data hii ilikuwa ni kwa faida ya nani yani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kusema uongo uongo na kuufanya mwisho wake kuwa mbaya na kuumbuka kama hivi ambavyo ameumbuka.
Imagine alikuwa na sababu gani ya kumlazimisha atudanganye kuwa uchumi wa nchi unakua kwa %8 kwa mwaka na wakati ukweli ni kwamba uchumi ulikuwa unashuka kwa %4 kwa mwaka.
Kwanini aliamua kuwa adui wa vyombo vya habari na vyama upinzani yeye alikuwa anapata faida gani kwa kuwa na uadui na vyombo hivi.
Kwanini aliamua kununua wapinzani na kisha kuwazawadia vyeo yeye alikuwa anafaidika na nini na biashara hii.
Nb na mwenye kuongezea uongo mwingine wa mwendazake aongezee apa ili tujue kilochokuwa kinamsibu uyu mwenzetu ni nini.
Hatutaki washamba tenaUkiona mtu anaongelewa sana basi ujue alipendwa na wengi..manake tunae Raisi mpya ila bado Magufuli on trending...
wasukuma mtakoma kipindi hikiTumechoka na hizi mada
Hivi hakuna kingine cha kuongelea?
Mtu mwenyewe hayupo mnakera
dah at last sasa tunapumua...manake duh ....kukaa mafichoni miaka mitano ilikuwa si mchezoTangu lini muongo akaacha asili Mkuu? Mwenyezi Mungu Mkubwa Mkuu kainusuru Tanzania yetu kwa maovu mengi ya kutisha.